Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ishafika 2,600 muda tu.Leo dollar moja ya Marekani ni T.shs. 2580 kulikoni?
Hivi ni kwanini zile solution ambazo ndizo zingeweza kutatua hizi shida mazima hua hazifanywi ina mana hazifanywi makusudi kama hili la dola ina mana kuna watu wana INTERESTS zao hapo si ndio..
Kwa nini isiporomoke wakati mama karuhusu walanguzi wa hela za kigeni kama bureau de change. Magufuli hakua mjinga kuweka bureau de chamge kwenye mabenki tu. Wahindi wakikusanya usd wanakimbiza zote canada kwa njia za panya. Utaratibu sio mrahisi kusimamia. Hata wanaofuatilia wanahongwa tu na wahindi hela za kigeni wanatoa nje. Uchumi unsingiza hels za kigeni ila zinaishia mikononi mwa watu wansozihamisha badala ya matumizi kwa faida ya nci.Leo dollar moja ya Marekani ni T.shs. 2580 kulikoni?