Mbona sielewi mnavyoishi humu?

Mbona sielewi mnavyoishi humu?

Nimeandika bandiko tokea asubuhi hadi sasa silioni likichangiwa na wadau.

Kupandisha bandiko lionekane kwa watu bei gani kwani?

Acha papara, kaakwa kutulia, utaelewa tu jinsi watu wanavyoishi humu. vipi ni bandiko gani umebandika? Labda ulibandika gizani au sehemu ambayo watu hawapiti walione.
 
Back
Top Bottom