Mbona sielewi mnavyoishi humu?

Mbona sielewi mnavyoishi humu?

Nafikiri soon JF itakua kama Twitter 🤮 .

Kuna Uzi niliudandosha Moderate akauunganisha na wake, nikawa kama nimechangia badala ya kisimamia kama thread yangu 🚮

Since then sijafkria kudondosha thread .
 
Nimeandika bandiko tokea asubuhi hadi sasa silioni likichangiwa na wadau.

Kupandisha bandiko lionekane kwa watu bei gani kwani?
Bandiko kama haliendani na chadomo kuiponda serikali na CCM kia aina fulani elewa kuwa moderator watalifuta.


Mie nafutiwa mabandiko yangu mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom