Mbona sielewi mnavyoishi humu?

Mbona sielewi mnavyoishi humu?

Yaani lionekane au lichangiwe? Au labda lichangiwe ila lisionekane? Karibu tukuhudumie tafadhali!
 
Kama ni la kuelimisha limeshafutwa hilo, huku wanataka ya Kula kimasihara, Mwajuma kaifinyia kwa ndani, Mke wa mwenye nyumba ana balaa n.k
 
Back
Top Bottom