Mbona sina access ya nyuzi zangu, nikitaka kuziona nazipatia wapi kwenye App?

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
10,999
Reaction score
23,540
Nimejaribu kutafuta threads zangu sizioni sasa najiuliza hii app ya JF imezipeleka wapi maana sina access nazo wala siwezi kuziona.

Nikiingia kwenye "your contents" nakutana replies zangu kwenye nyuzi za watu wengine ila sioni nyuzi zangu.
 
Mkuu lini mara ya mwisho kutumia jf?

Una click chini ya (your contents) pameandikwa (your threads)

Unazo saka ni threads na sio contents. Mbona lugha iko wazi kabisa
 
Nimejaribu kutafuta threads zangu sizioni sasa najiuliza hii app ya JF imezipeleka wapi maana sina access nazo wala siwezi kuziona.

Nikiingia kwenye "your contents" nakutana replies zangu kwenye nyuzi za watu wengine ila sioni nyuzi zangu.
Pole mkuu!
 
Nenda kwenye kuandika threads,,, utakuta option imeandikwa my thread click hapo then utaziona.
 
Okay ngoja nicheki. Hizi setup zao wanapuyanga sana hadi wanatuchanganya why wasitumie a very simple layout.
 
Nenda kwenye kuandika threads,,, utakuta option imeandikwa my thread click hapo then utaziona.
Hebu nionyeshe screenshot ya unachoona katika screen yako i swear hakuna hicho kitu boss.
 
Back
Top Bottom