ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Hii tamthilia inafanya vizuri kwa sasa Ina trend sana YouTube visa vyake ni usaliti,maisha ya ndoa,unafki w marafiki,ulevi,uwongo..
Kwa sasa tuko episode ya 70.karibun tujadili tunaoifuatilia.
Kwa sasa tuko episode ya 70.karibun tujadili tunaoifuatilia.