ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kama pm bet kweli wanatoa magari au uzushi tuMatangazo yao tu ndo yanakera
Huyu cathe naona atakuwa anapendwa sana na wanaume wengi. Ni Tamthila mzuri sana mtaan kwetu wanaume wengi wanachukua kwenye ma library kwenda kuangalia na wake zao.Ile Matlida ni pisi haswa, Manyanya ana haki zote za kumchit wife wake, Mtumishi anaakisi maisha halisi ya hawa watu, ni malaya sana si wa kike wala wa kiume,, naona mama anakuja kumkomboa Mudy maana jahazi ndio lilikuwa linazama hilo,, ila nampenda Cathe jamani,, π