OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
I mean Peter Manyika baba yake na JrSikuwa najua kama Manyika jr yupo Yanga. Halafu Kaseja alitokea Simba au Moro? Manula mbona ni Tanzaniaone tangu yupo Azam?
Akiwa Moro hakuwa TOSikuwa najua kama Manyika jr yupo Yanga. Halafu Kaseja alitokea Simba au Moro? Manula mbona ni Tanzaniaone tangu yupo Azam?
Acha kuuonesha utoto wako kiasi kikubwa kama hujui kutofautisha kati ya manyika baba na manyika mtotoI mean Peter Manyika baba yake na Jr
Hayo ni yako,Kaseja alikalishwa bench kutokana na bifu na Maximo na mapenzi yake na Yanga,zile zilikuwa fitna ni kama sasa tumuweke Manula benchiKweli bado mtoto wewe unaongea bila utafiti wowote juma kaseja kasugulishwa sana benchi na ivo mapunda kwa kigezo cha kimo.
Kuwa mtu mzima kidogo ndio uje humu tena kufungua researched threads.
Acha attacks za kisenge basi jikite kwenye mada. Stress zako usizimalie kwanguAcha kuuonesha utoto wako kiasi kikubwa kama hujui kutofautisha kati ya manyika baba na manyika mtoto
Kawaida sifa hubeba wao watani zetu.Sikuwa najua kama Manyika jr yupo Yanga. Halafu Kaseja alitokea Simba au Moro? Manula mbona ni Tanzaniaone tangu yupo Azam?
Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa ni Simba.
Kipindi cha Mwameja kule Yanga kulikuwa na Manyika Peter na Steven Nemes. Kipindi cha Kaseja kule Yanga kulikuwa na kina Amani Simba na Mapunda. Leo hii kuna kina Dida, Manyika Jr,Kakolanya lakini kigogo kipo Simba.
Zamani kidogo sijui kwa maana mimi bado mdogo
Kaseja alishakuwa Tanzania one tokea 2003 huyo Mapunda alikuwa wapi? Upande wa pili alikuwepo Noel Joel Pompi na Mengi Matunda Na Benjan HauleKweli bado mtoto wewe unaongea bila utafiti wowote juma kaseja kasugulishwa sana benchi na ivo mapunda kwa kigezo cha kimo.
Kuwa mtu mzima kidogo ndio uje humu tena kufungua researched threads.
Nimeanza kuufatilia mpira toka enzi za RTD mkubwa kaseja hakuwahi kuwa consistency player wa national team toka aanze Carrier yake ya mpira.Kaseja alishakuwa Tanzania one tokea 2003 huyo Mapunda alikuwa wapi? Upande wa pili alikuwepo Noel Joel Pompi na Mengi Matunda Na Benjan Haule
Au mpira umeanza kufuatilia wakati wa Maximo tu ?
Kuanzia 2003 kaseja ndiyo alikuwa golikipa namba Moja mpaka 2006 aliponyang'anywa namba na Ivo mapunda.Nimeanza kuufatilia mpira toka enzi za RTD mkubwa kaseja hakuwahi kuwa consistency player wa national team toka aanze Carrier yake ya mpira.
NB. Mimi ni shabiki wa simba usizani naandika haya kiushabiki