Mbona Tanzania One Goalkeeper hutokea Simba pekee?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa ni Simba.

Kipindi cha Mwameja kule Yanga kulikuwa na Manyika Peter na Steven Nemes. Kipindi cha Kaseja kule Yanga kulikuwa na kina Amani Simba na Mapunda. Leo hii kuna kina Dida, Manyika Jr,Kakolanya lakini kigogo kipo Simba.

Zamani kidogo sijui kwa maana mimi bado mdogo
 
Kweli bado mtoto wewe unaongea bila utafiti wowote juma kaseja kasugulishwa sana benchi na ivo mapunda kwa kigezo cha kimo.
Kuwa mtu mzima kidogo ndio uje humu tena kufungua researched threads.
Hayo ni yako,Kaseja alikalishwa bench kutokana na bifu na Maximo na mapenzi yake na Yanga,zile zilikuwa fitna ni kama sasa tumuweke Manula benchi
 
Loh SEND SMS
Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa ni Simba.

Kipindi cha Mwameja kule Yanga kulikuwa na Manyika Peter na Steven Nemes. Kipindi cha Kaseja kule Yanga kulikuwa na kina Amani Simba na Mapunda. Leo hii kuna kina Dida, Manyika Jr,Kakolanya lakini kigogo kipo Simba.

Zamani kidogo sijui kwa maana mimi bado mdogo
 
Ila magoli ya kizembe anayofungwa Manula kama Jana..Kakolanya huwezi kumfunga...sifa ya kipa bora sio clean sheets pekee...amefanya saves ngapi za hatari kwangu ndio kipa bora...maana kama una ukuta imara huwezi kudaka michomo...Manula ajipange Amunike anaona.....
 
Kweli bado mtoto wewe unaongea bila utafiti wowote juma kaseja kasugulishwa sana benchi na ivo mapunda kwa kigezo cha kimo.
Kuwa mtu mzima kidogo ndio uje humu tena kufungua researched threads.
Kaseja alishakuwa Tanzania one tokea 2003 huyo Mapunda alikuwa wapi? Upande wa pili alikuwepo Noel Joel Pompi na Mengi Matunda Na Benjan Haule

Au mpira umeanza kufuatilia wakati wa Maximo tu ?
 
Nimeanza kuufatilia mpira toka enzi za RTD mkubwa kaseja hakuwahi kuwa consistency player wa national team toka aanze Carrier yake ya mpira.
NB. Mimi ni shabiki wa simba usizani naandika haya kiushabiki
 
Kuanzia 2003 kaseja ndiyo alikuwa golikipa namba Moja mpaka 2006 aliponyang'anywa namba na Ivo mapunda.
Sasa wewe sijui unazungumza kaseja yupi !

Hata hiyo RTD imebadilishwa 2008 ikawa TBC au wewe unazungmzia hiyo RTD ya 2006 hadi 2008 ?

Acha ubishi wa kishamba
 
Na katika kipindi chote hicho cha hao makipa wenu kuwa TZ one taifa limepiga hatua gani katika soka!? Bora wakati ule wa Maxmo lango likiwa chini ya Ivo kuna kitu kilifanyika! Tulicheza mpaka michuano ya Afrika kwa wachezaji wa nyumbani! Kwa kiwango cha sasa cha Beno, Aishi ajiandae kuchoma mahindi muda si mrefu!
 
Back
Top Bottom