OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa ni Simba.
Kipindi cha Mwameja kule Yanga kulikuwa na Manyika Peter na Steven Nemes. Kipindi cha Kaseja kule Yanga kulikuwa na kina Amani Simba na Mapunda. Leo hii kuna kina Dida, Manyika Jr,Kakolanya lakini kigogo kipo Simba.
Zamani kidogo sijui kwa maana mimi bado mdogo