Mbona Total wameishindwa Tanzania, ingekuwa kampuni ya Kenya mngechekelea ila sasa wanahama wote

Mbona Total wameishindwa Tanzania, ingekuwa kampuni ya Kenya mngechekelea ila sasa wanahama wote

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kampuni ya mafuta ya Total, ambao ndio walikua tegemeo kwa ujenzi wa bomba la mafuta Tanzania, naona wametangaza zabuni ya kuuza kila kinachowahusu Tanzania, kawaida humu huwa tunaona Watanzania wakichekelea kila panapotokea taarifa za kampuni ya Kenya kwao huko inapofungasha, sasa kwa hawa mabeberu inakuakuaje.

Invitation for Tender Total Tanzania Limited

TOTAL TANZANIA LIMITED PROPERTIES FOR SALE Total Tanzania Limited invites candidates to expression interested and submits competitive bids for purchase of plot, depots and services stations enlisted for disposing located in various Region in Tanzania […]
TOTAL Archives - Tender Portal
 
Sio lazima wajenge Total, kama wao wameshindwa watakuja wengine, as long as agreement between Uganda na Tanzania mafuta yapite Tanga, basi hakuna shida bomba litajengwa tuu sababu mafuta bado yapo Uganda.
 
Total Tanzania miaka miwili iliyopita aliinunua facilities zote za GAPCO Tanzania, it’s obvious kwamba umefika muda wa kujua ni facilities zipi zitamfaa strategically kwenye biashara yake. Anauza asizohitaji
 
Sio lazima wajenge Total, kama wao wameshindwa watakuja wengine, as long as agreement between Uganda na Tanzania mafuta yapite Tanga, basi hakuna shida bomba litajengwa tuu sababu mafuta bado yapo Uganda.

Muwahi maana mafuta yanaelekea kukosa thamani hivi karibuni.
Kama kweli Total wanaiaga Tz basi itachukua muda sana kabla mtu yeyote kuwaza kuhusu hilo bomba.
 
Muwahi maana mafuta yanaelekea kukosa thamani hivi karibuni.
Kama kweli Total wanaiaga Tz basi itachukua muda sana kabla mtu yeyote kuwaza kuhusu hilo bomba.

Kwa taarifa zilizopo ni kuwa watahitaji kuacha shughuli zote za disposing locally ili kuwa granted usafirishaji mafuta from one country, UG in particular to Tanga based here in Tanzania. Kusafirisha mafuta from UG kumefanya registration yao iwe ya kimataifa hapa nchini as they will be operating in two different countries in the same manner, activities affiliated with grass-level must be subdued to the local registered companies. Kinachoendelea ni vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Kwa taarifa zilizopo ni kuwa watahitaji kuacha shughuli zote za disposing locally ili kuwa granted usafirishaji mafuta from one country, UG in particular to Tanga based here in Tanzania. Kusafirisha mafuta from UG kumefanya registration yao iwe ya kimataifa hapa nchi as they will be operating in two different countries in the same manner, activities affiliated with grass-level must be subdued to the local registered companies. Kinachoendelea ni vigezo na masharti kuzingatiwa.

Mbona mnakua na spins nyingi kwenye hii issue, msimamie kimoja, mara oh wanauza baadhi tu ili wawe strategic, mara ni vigezo, mara wametoa fursa kwa wazawa mara ooh mara aah!
 
Mbona mnakua na spins nyingi kwenye hii issue, msimamie kimoja, mara oh wanauza baadhi tu ili wawe strategic, mara ni vigezo, mara wametoa fursa kwa wazawa mara ooh mara aah!!
Na wewe elewa kimoja, unaambiwa hivi bado huridhiki, acha kuwa mbwa koko.
 
Pitia tender atapatikana mshindani wa kweli, hakuna ulazima wafanye total mbona
 
Kwendraaa uko tutachimba mafuta wenyewe kama hatuwezi kizazi kijacho kitachimba sio lazma sasa. Tuko busy na kampeni.
 
Kwa hiyo unasemaje. Yaani kazu yako ni kufuatilia habari za TZ tu, you are paid for that isn't it? Inawezekana siyo Kama ulivyoileta hapa. Kesho tunaweza tukairuhusu KQ ije huku kwetu paradise, ikiwa hivyo nadhani mtashangilia Sana.
 
Kwa hiyo unasemaje...yaani kazu yako ni kufuatilia habari za TZ tu....you are paid for that isn't it? Inawezekana siyo Kama ulivyoileta hapa...kesho tunaweza tukairuhusu KQ ije huku kwetu paradise...ikiwa hivyo nadhani mtashangilia Sana

KQ kuja huko sio kitu cha kushangiliwa huku, waulize Wakenya wengi kitaani hata hawana habari na zuio lenu huko, nyie ndio mumeifanya ionekane kama issue kubwa sana maana siku zote mtu anayeendeshwa na chuki ndiye huumia na kuteseka zaidi ya mhanga wa chuki zake.

Japo kama kuna kitu kimenifurahisha kwenye hii serikali ya Kenya ni namna walivyokomaa kwenye hili, kwamba kila Mtanzania anayekuja huku lazima apimwe, hamna nini wala nini, hata mzuie ndege na malori yote milele, lazima mpimwe.

Uzalendo wangu kwa hii serikali ulikua umeanza kushuka, nilikua nimeanza kuchukia namna rais wetu anavyoendesha baadhi ya mambo, ila kwa jinsi ametulinda kutokana na nyie watu, amenikosha kiaina na nimeipenda sana, kwanza ndege zetu za KQ zikiruhusiwa kuja huko, siku zikigeuza ziwe zinapulizwa dawa kote, na kama vipi marubani wasiwe wanashuka Tanzania, wawe wanageuza moja kwa moja.

Wahudumu wetu walindwe kama hawa hapa, tutapona na kukwepa hii hatari.

china-health-canada.JPG
 
They are not exiting the market they are selling off select stations ambazo ni low-performing
 
They are not exiting the market they are selling off select stations ambazo ni low-performing

Uelewa wake huyu mtu ni mdogo sana. Bora kuchunga mbuzi kuliko kuanza mjadala na mtu huyu. Elimu ndogo, exposure ndogo, shida tu.
 
They are not exiting the market they are selling off select stations ambazo ni low-performing

Tatizo kila mmoja wenu ana maelezo yake, kunao mnasema hiyo ilikua mojawapo wa vigezo kwamba kama watajenga bomba lazima wafunge biashara zote zingine, yaani mbona msitulie mpate spin moja ya kutumia.
 
Back
Top Bottom