Mbona Total wameishindwa Tanzania, ingekuwa kampuni ya Kenya mngechekelea ila sasa wanahama wote

Hii nchi ina uchumi hovyo sana. Kama Total imeshindwa kufanya biashara Tanzania basi ni kampuni gani ya kimataifa itafanikiwa? Habari hii inatuma picha mbaya kwa wawekezaji wa kigeni kuwa Tanzania imeoza kibiashara
 
Kwa taarifa zilizopo ni kuwa watahitaji kuacha shughuli zote za disposing locally ili kuwa granted usafirishaji mafuta from one country, UG in particular to Tanga based here in Tanzania. Kusafirisha mafuta from UG kumefanya registration yao iwe ya kimataifa hapa nchini as they will be operating in two different countries in the same manner, activities affiliated with grass-level must be subdued to the local registered companies. Kinachoendelea ni vigezo na masharti kuzingatiwa.
Dah wabongo wajuaji unajishebeeua Kama ndiyo msemaji wa total
 
Hii nchi ina uchumi hovyo sana. Kama Total imeshindwa kufanya biashara Tanzania basi ni kampuni gani ya kimataifa itafanikiwa? Habari hii inatuma picha mbaya kwa wawekezaji wa kigeni kuwa Tanzania imeoza kibiashara
Wale wanakuambia huwa uko tofauti na wakunya wengine huwa wapo wrong mnoo...huwa nasoma comments zao na kucheka tu [emoji23][emoji23][emoji23]

The best 007 ni huyu huwa mnasema yupo tofauti na wakunya wengine?

Ona hapa anavyoungana na mpotoshaji mfungua uzi kutetea ujinga na upotoshaji.
 
Sitaki kusifiwa na nyie. Sitaki misifa kutoka kwenu. Sawa?
 
Baada ya kukufokea ndio unajikuta hupendi kusifiwa!

Ingependeza ingekuwa unawaambia wale wanaokusifia punde tu wanapokusifia.
 
Hii nchi ina uchumi hovyo sana. Kama Total imeshindwa kufanya biashara Tanzania basi ni kampuni gani ya kimataifa itafanikiwa? Habari hii inatuma picha mbaya kwa wawekezaji wa kigeni kuwa Tanzania imeoza kibiashara
Kakuambia nani..TOTAL hawaondoki na wala hawana mpango wakuondoka
kwa kusaidia TU

TOTAL walinunua kampuni ya GAPCO..hii kampuni ilikuwa na vituo,viwanja,storage facilities nk karibia nchi nzima,,TOTAL walivyowanunua na wao wanavituo sehemu mbalimbali....nini kilitokea.. unakuta eneo moja wana vituo au storage facilities hii inafanya, vituo kushindana vyenyewe kwa vyenyewe na kutoleta TIJA kwa kampuni.. nini walihamua, ni kuuza zile property ambazo ziko eneo maja na SIO VINGINEVYO
 
Hii nchi ina uchumi hovyo sana. Kama Total imeshindwa kufanya biashara Tanzania basi ni kampuni gani ya kimataifa itafanikiwa? Habari hii inatuma picha mbaya kwa wawekezaji wa kigeni kuwa Tanzania imeoza kibiashara
Ona hili fara, wakunya bhana.
 
Baada ya kukufokea ndio unajikuta hupendi kusifiwa!

Ingependeza ingekuwa unawaambia wale wanaokusifia punde tu wanapokusifia.
Sijawalazimisha kunisifia. Sijaweka bunduki kichwani mwao. Wewe mbona inakuwasha? Ama ulikuwa unataka hio sifa wewe mwenyewe? Basi anza kuchangia kiutu uzima na uwache kuchangia kitoto kama ulivyozoea halafu sifa zitakuwa ni zako. Nakupa ushauri tu.
 
So you mean kuchangia kiutu uzima ni kuungana na hili po-po-ma mfungua uzi kupotosha,

Mnachojua ni kupotosha tu humu,

Nilishawahi kuwaambia humu, wakunya hamna uhuru wa kukosoana humu jamiiforums na ndio maana mkiona mwenzenu anapotosha na kudanganya badala mumsahihishe mnajazana kumsaidia kupotosha halafu eti unataka tuchangie kiutu uzima [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kwani mtu hawezi kufanya makosa? Mtu hawezi kupost habari lakini habari hio ikawa imepitwa na wakati? Kama mtu amekosea mbona usimsahihishe? Halafu sisi Wakenya hatujui sana mambo ya huko kwenu na wala hatuna haja sana ya kujua. Kwa hivyo kama tumekosea basi tuweke sawa lakini sio kwa kilio hicho.
 
Sasa kama hamjui mambo ya Tanzania kwanini mnaangaika kupost threads zinazopotosha na kudanganya wakati hamjui mambo ya huku?

Amefanya makosa, kwanini hujamrekebisha labda kwa kumuambia hii thread uliyo fungua inapotosha?

Au unaogopa kumpa makavu live mkunya mwenzako?

Ulivyo jinga unaungana nae kumsaidia kupotosha,

Je nyie huwa hamuwezi kufanya tafiti kwanza kabla ya kuparamia kufungua uzi?

Hii tabia yenu ya kufungua nyuzi za kupotosha kuhusu Tanzania ndio zinafanya tuwapige spana humu kwa sababu hamtaki kujirekebisha.
 
Shika handkerchief upanguze machozi. Sio kwa kilio hicho.
 
Unashindwa kulala ajili ya kufuatilia tanzania alafu kukikucha unabadili maneno eti tanzania wanafuatilia sana Kenya.
Jibu mujarabu kabisa.

Utakuta anashindwa hata kudinda kisa Tanzania
 
Back
Top Bottom