Mbona uchangamfu wa hawa Members Wapenzi humu JF kila siku unapungua? Tatizo ni nini labda?

Ha ha ha kwema ndugu yangu usemayo ni ya kwel na unajua mapenz ya siku ya kwanza yanakuwa matamu sana, we ndugu yangu kama hisa za vodacom kwa siku unaweza kuwa na wateja zaid ya kumi utaanzaje kuleta mbwembwe
Hahaha.
Sheria za chama haziruhusu bwana. Au ndiyo unatafuta namna mni-dump ubakie kuwa HR?
 
Asante rafiki yangu,tuombe kheri panapo majaaliwa tutampata Albert Einstein wetu au Benazir Bhutto (Huyu mama nilikuwa nampenda na kumkubali sana,R.IP)

Tungekuwa Christians tungemuenzi muheshimiwa wetu Maxence Melo
 
Ila Shem The bold Kuna kitu kimoja Mimi shemeji yako kinaniuma Sana, ngoja Tu Leo nikisema, miaka miwili mitatu iliyopita dada yangu alikua mtu Wa kule siasani Sana, and for sure alikua anamchango mkubwa Sana, ila toka umchukue mambo yamekua tofauti Sana.

Nilijiuliza Sana imekuaje ila Kuna siku nilipata jibu, I think ilikua Ni siku ya birthday ya sister, Kuna Uzi ulianzisha katoka ule Uzi niligundua wewe hupendi kujihusisha na mambo ya siasa, hukuweka sababu ila as GT niling'amua why hupendi kujitanabaisha msimamo Wako, sasa hii ikanifanya Ni'conclude the reason behind kwa nini Nifah haji Sana Siasani.

Ombi langu Ni; muache Tu ajemwayemwaye kule, sisi bado tunamuhitaji Sana huyu mwenzetu, hata kama wewe sio wa chama chetu ila muache Tu plz...
 
kweli we ndie Cheupe Yule wa kule kwa Vipepeo Weusi!!
 
Ha ha ha ha nasubir uanze tu uone ntakavyokupiga vita nachimbua makabur yako yoteee
Mzee sasa nimeshayajua. Na vyeti feki sina sasa sijui sabotages zako utazielekeza wapi.

Ila bwana. Couple za JF kama hautaki stress Ishi kwa amani pasipo kujistukia wala kubishana na wanaokudiss maana humu I'd fake na watu wanatumia mianya ya I'd fake kufanya wanalotaka.
 
Yah ni kwel mzee utajikuta unatumia muda mwing kujib diss za watu kuliko kuboresha penz lako ila sometimes ku lay low raha sanaa maana unaweza ukawa na couple sita na wala usipate hofu kama ambavyo umeamuwa mwenyewe na wale tetere wako
 
Wanaume tupo wachache lazima tuwahodhi hawa wenzetu. CEO anakuambia mwanaume hafumaniwi.

Sisi waongeaji tu bwana watwangaji mpo kimya. Mimi hata pm za warembo sizijui mwisho jukwaani tu hapa. Mbwembwe zinaishia humu
 
Acha nipite kimya kimya hapa umesema pm huzijui kuna siku ilikuwa vita kali sana hapa ikabd mzee akushaur upotee kwa week moja ili kuweka mambo sawa ha ha ha
 
Acha nipite kimya kimya hapa umesema pm huzijui kuna siku ilikuwa vita kali sana hapa ikabd mzee akushaur upotee kwa week moja ili kuweka mambo sawa ha ha ha
Tehteh.
Basi yaishe bwana.

Weekend imeanza acha nisongee karibu na huduma za pombe
 
Paragraph yako ya mwisho imenifanya nami nimtafute sasa wa ' Kumbaka ' hapa mtaani au nikapige tu ' Nyeto ' nifute machungu.
 
Paragraph yako ya mwisho imenifanya nami nimtafute sasa wa ' Kumbaka ' hapa mtaani au nikapige tu ' Nyeto ' nifute machungu.
Hahahaaaaaa ndicho ulichokuwa unakitaka kaka,au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…