Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Hamtupi motisha kama wadada wazuri nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.Ha ha ha kwema ndugu yangu usemayo ni ya kwel na unajua mapenz ya siku ya kwanza yanakuwa matamu sana, we ndugu yangu kama hisa za vodacom kwa siku unaweza kuwa na wateja zaid ya kumi utaanzaje kuleta mbwembwe
Ha ha haaaa.. Eti The bold Natoa hotuba... Ha ha ha haaaaa... By the way hongereni Sana Wakuu, ukishikwa shikamana! Maisha yenyewe mafupi haya, kuleni Tu raha Wakuu, sasa tunasubiri MTOTO ASAP, msituletee mambo ya "badomda" , na huyu mtoto itabidi aitwe Maxence if ni wakiume, Ikiwa kinyume chake mtamuita jina halisi la miss chagga, Mungu awatangulie na awafanyie wepesi... Nifa wa The bold
Ha ha ha ha nasubir uanze tu uone ntakavyokupiga vita nachimbua makabur yako yoteeeHahaha.
Sheria za chama haziruhusu bwana. Au ndiyo unatafuta namna mni-dump ubakie kuwa HR?
Imenibidi nicheke mi nilijua jina lako la ukoo mkuuNi ' Mfukunyuku ' na ' Mnakunaku ' niliyetukuka. Popoma ' Shangazi ' yako!
Hahahaaaa,,,,,,,nimekuja waniitaNi ' Mfukunyuku ' na ' Mnakunaku ' niliyetukuka. Popoma ' Shangazi ' yako!
Inshallah.. Tunasubiri hiyo baraka kwa shauku kubwa..Soon kutakuwa na mtoto mmoja acha tuombe kheri
Amin chief.Inshallah.. Tunasubiri hiyo baraka kwa shauku kubwa..
kweli we ndie Cheupe Yule wa kule kwa Vipepeo Weusi!!Hahahaaaaaaa hii JF bhana? Tukibebishana malalamiko yanazidi...oooh tumezidi kuitana my love,my love.
Tumekaa kimya sasa tupo kiprofessional zaidi mara kuna danger katika mapenzi yetu.
Jamani...The Bold's tupo kama mnavyoona hapo![]()
*Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atang'amua
[emoji444] *Na kapicha ketu nimekapost [emoji444]
[emoji444] *Wasiotupenda itawakost [emoji444]
Mzee sasa nimeshayajua. Na vyeti feki sina sasa sijui sabotages zako utazielekeza wapi.Ha ha ha ha nasubir uanze tu uone ntakavyokupiga vita nachimbua makabur yako yoteee
Yah ni kwel mzee utajikuta unatumia muda mwing kujib diss za watu kuliko kuboresha penz lako ila sometimes ku lay low raha sanaa maana unaweza ukawa na couple sita na wala usipate hofu kama ambavyo umeamuwa mwenyewe na wale tetere wakoMzee sasa nimeshayajua. Na vyeti feki sina sasa sijui sabotages zako utazielekeza wapi.
Ila bwana. Couple za JF kama hautaki stress Ishi kwa amani pasipo kujistukia wala kubishana na wanaokudiss maana humu I'd fake na watu wanatumia mianya ya I'd fake kufanya wanalotaka.
Asante mkuu.
Kuna kuchokana na ukishapata unachokitaka bashasha zinapungua
Hahaha.Yah ni kwel mzee utajikuta unatumia muda mwing kujib diss za watu kuliko kuboresha penz lako ila sometimes ku lay low raha sanaa maana unaweza ukawa na couple sita na wala usipate hofu kama ambavyo umeamuwa mwenyewe na wale tetere wako
Acha nipite kimya kimya hapa umesema pm huzijui kuna siku ilikuwa vita kali sana hapa ikabd mzee akushaur upotee kwa week moja ili kuweka mambo sawa ha ha haHahaha.
Wanaume tupo wachache lazima tuwahodhi hawa wenzetu. CEO anakuambia mwanaume hafumaniwi.
Sisi waongeaji tu bwana watwangaji mpo kimya. Mimi hata pm za warembo sizijui mwisho jukwaani tu hapa. Mbwembwe zinaishia humu
Tehteh.Acha nipite kimya kimya hapa umesema pm huzijui kuna siku ilikuwa vita kali sana hapa ikabd mzee akushaur upotee kwa week moja ili kuweka mambo sawa ha ha ha
Jiwe limerushwa gizani alafu nimejikuta nasema "yalaaaaaaa" (limenipata)
Hahahah shemeji una mambo sana aisee...
The Bolds tuko gado kabisa shemeji and stronger and more in love kuliko kipindi chochote kile...
The thing is sasa hivi muda mwingi tunakuwa tuko pamoja so maongezi yetu tunayafanya face to face and hai-make sense tukichit chat humu majukwaani muda wote wakati tuko wote hapo tulipo... tofauti na mwanzoni ambapo tulikuwa tunaonana mara chache kwa hiyo kila tukikutana kwenye nyuzi yoyote lazima makhaba na kubebishana kuwe on fleek.. [emoji23] [emoji23]
To make a long story short... Ni kwamba huu ni mwezi wa pili tuko wote pamoja.!! Nyumba moja, chumba kimoja, kitanda kimoja, shuka moja and oooohh yeaaahh mwili mmoja.. [emoji4]
me nasubiria mtoto tu
Hahahaaaaaa ndicho ulichokuwa unakitaka kaka,au?Paragraph yako ya mwisho imenifanya nami nimtafute sasa wa ' Kumbaka ' hapa mtaani au nikapige tu ' Nyeto ' nifute machungu.