GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Asante mkuu,lazima utakuwa smart na mwenye busara kuliona hilo.
Tuna mambo mengi,huo muda wa kubebishana huku JF hatuna tena,ni kazi tu.
Hata ukiangalia mahudhurio yangu JF sio kama zamani...
Inaonekana Picha Natoa Hotuba ' anaikeshea ' sana mpaka muda wote unakuwa hoi bin taaban hadi unapotea humu. Hapo bado hajakuoa je akikuoa si ndiyo utakuwa unashindwa hata kwenda kumpelekea maji ya Kuogo kwa aina ya ' Mshindilio ' wa ' Kutukuka ' atakaokuwa anakupa?