GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Asante mkuu,lazima utakuwa smart na mwenye busara kuliona hilo.
Tuna mambo mengi,huo muda wa kubebishana huku JF hatuna tena,ni kazi tu.
Hata ukiangalia mahudhurio yangu JF sio kama zamani...
ha hahaha hapana wamuite baby chagga kakaNa ole wao wasimwite ' Baby Gentamycine ' nitawalaani sana.
Cc: Picha Kitambaa
Cc: Picha Natoa Hotuba
Hahahaaaaaaa hii JF bhana? Tukibebishana malalamiko yanazidi...oooh tumezidi kuitana my love,my love.
Tumekaa kimya sasa tupo kiprofessional zaidi mara kuna danger katika mapenzi yetu.
Jamani...The Bold's tupo kama mnavyoona hapo
*Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atang'amua
[emoji444] *Na kapicha ketu nimekapost [emoji444]
[emoji444] *Wasiotupenda itawakost [emoji444]
Nakuelewa sana mkuu Mgibeon,Ila Shem The bold Kuna kitu kimoja Mimi shemeji yako kinaniuma Sana, ngoja Tu Leo nikisema, miaka miwili mitatu iliyopita dada yangu alikua mtu Wa kule siasani Sana, and for sure alikua anamchango mkubwa Sana, ila toka umchukue mambo yamekua tofauti Sana.
Nilijiuliza Sana imekuaje ila Kuna siku nilipata jibu, I think ilikua Ni siku ya birthday ya sister, Kuna Uzi ulianzisha katoka ule Uzi niligundua wewe hupendi kujihusisha na mambo ya siasa, hukuweka sababu ila as GT niling'amua why hupendi kujitanabaisha msimamo Wako, sasa hii ikanifanya Ni'conclude the reason behind kwa nini Nifah haji Sana Siasani.
Ombi langu Ni; muache Tu ajemwayemwaye kule, sisi bado tunamuhitaji Sana huyu mwenzetu, hata kama wewe sio wa chama chetu ila muache Tu plz...
hakuna shida nifah mpendane tu kwa moyo wote[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe miss chagga wewe?
Ni kweli,siku hizi nina mambo mengi mnoooo,very busy ndio maana inaweza pita wiki na zaidi sijaingia JF.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe miss chagga wewe?
Ni kweli,siku hizi nina mambo mengi mnoooo,very busy ndio maana inaweza pita wiki na zaidi sijaingia JF.
usikubali shemeji kule watamuharibu na kumkomaza usikubaliNakuelewa sana mkuu Mgibeon,
Kuna mambo mengine ni vigumu kuyafafanua lakini yanapaswa kuwa hivyo..
Ni kweli Cheupe anapenda Siasa na anaijua vyema sana lakini kwa maslahi mapana zaidi inabidi ile spidi yake ya zamani ipungue!!
Haikuwa kazi nyepesi kumuondoa siasani lakini uzuri ni mwanamke smart na mtiifu... Akaelewa na hatimaye amejiweka kando na mijadala ya kisiasa...
Natamani aendelee na harakati siasani lakini sijui nisemeje... Ndio hivyo mkuu!
Hahahaah kumbe mnaoongelewa ni ninyi.!Hahahaaaaaaa hii JF bhana? Tukibebishana malalamiko yanazidi...oooh tumezidi kuitana my love,my love.
Tumekaa kimya sasa tupo kiprofessional zaidi mara kuna danger katika mapenzi yetu.
Jamani...The Bold's tupo kama mnavyoona hapo
*Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atang'amua
[emoji444] *Na kapicha ketu nimekapost [emoji444]
[emoji444] *Wasiotupenda itawakost [emoji444]
Hahahahah!! Daaaahh.. [emoji23] [emoji23]Paragraph yako ya mwisho imenifanya nami nimtafute sasa wa ' Kumbaka ' hapa mtaani au nikapige tu ' Nyeto ' nifute machungu.
Ulitaka uone nini mkuu? HahahaShemeji nifah hii picha ingekua nzuri zaidi kama ingekua imeishia juu kidogo ya mgongo. Ingawa ata sijui kwa nini nimewaza hivyo
Asante mrembo wangu [emoji8] [emoji8] [emoji8]hakuna shida nifah mpendane tu kwa moyo wote
We jamaa mchokozi sana.umefukunyua mpaka umepata ulichokipata..by the way yule demu aliyekua akikuhudumia pale Salmacone vipi ulimuacha?
Hahahaha!! Sitaki ageuke kuwa "wangari maathai"... Nyumba itawaka moto...usikubali shemeji kule watamuharibu na kumkomaza usikubali
karibu tena mamyAsante mrembo wangu [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hahahaaaaaa Wallah umetuweza leo [emoji119]Na nitakuwa ' nawachokoza ' kila uchao hadi muache ' kupotea ' humu Jamvini. au hamjui kuwa bila Picha Kitambaa na Picha Natoa Hotuba JF bado haijanoga? Na leo kweli ' nimewaweza ' hadi ' mmefufuka ' huko Kitandani mlipokuwa mkipena ' ushirikiano wa Kibaiolojia '.
mwanamke awe laini laini ahahaha. loh! me nataka kuwasikia mkiwa kibibi na kibabuHahahaha!! Sitaki ageuke kuwa "wangari maathai"... Nyumba itawaka moto...
Asante rafiki yangu,tuombe kheri panapo majaaliwa tutampata Albert Einstein wetu au Benazir Bhutto (Huyu mama nilikuwa nampenda na kumkubali sana,R.IP)
Tungekuwa Christians tungemuenzi muheshimiwa wetu Maxence Melo
Ni sisi mtani [emoji23] [emoji23] [emoji85]Hahahaah kumbe mnaoongelewa ni ninyi.!
Ila Shem The bold Kuna kitu kimoja Mimi shemeji yako kinaniuma Sana, ngoja Tu Leo nikisema, miaka miwili mitatu iliyopita dada yangu alikua mtu Wa kule siasani Sana, and for sure alikua anamchango mkubwa Sana, ila toka umchukue mambo yamekua tofauti Sana.