Umeongea pumba sana bora ingekaa kimyaCha muhimu ni umeme wa uhakika km una taka bei nafuu nunua solar uweke nyumban kwako
Watu sku izi tumesahau tatizo la umeme mda mwingi umeme unapatikana na ikitokea umekatika bas ni kwa muda mfupi au kuna matengenezo pahara
Cha muhimu umeme wa uhakika kama unaona unit zimepanda bas huna sifa wala vigezo vya kumiliki umeme nyumban kwako.
Unaweza kutuambia umeme umepanda lini na umetoka kiasi gani kwenda kiasi gani? Maana bei ya sasa ya 350-360 ninavyokumbuka iliainishwa mwaka 2017.Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.
Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme zimepanda maradufu.
Yaani watanzania tunaona ni bora tusingelijenga tu maana limetumia kodi zetu nyingi kwa matarajio ya kuwa ingeshusha bei ya umeme lakini matokeo yake Samia kapandisha bei kuanzia huduma ya kuunganishwa huduma ya umeme hadi units tuzazouziwa.
Rest in peace jpm.
Nyie watu wekeni akiba ya maneno. Mmesahau mgao wa umeme? Umeme kukatika asubuhi mpaka jioni au jioni mpaka asubuhi maa tano kwa wiki? Mara ya mwisho lini umesikia mgao wa umeme? Na ujue tofauti ya mgao na umeme kukatika.Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.
Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme zimepanda maradufu.
Yaani watanzania tunaona ni bora tusingelijenga tu maana limetumia kodi zetu nyingi kwa matarajio ya kuwa ingeshusha bei ya umeme lakini matokeo yake Samia kapandisha bei kuanzia huduma ya kuunganishwa huduma ya umeme hadi units tuzazouziwa.
Rest in peace jpm.
Umeanza vizuri lakini umeharibu mwishoni kwa kusema kujenga bwawa hakufanyi kuwa na umeme.Unaweza kutuambia umeme umepanda lini na umetoka kiasi gani kwenda kiasi gani? Maana bei ya sasa ya 350-360 ninavyokumbuka iliainishwa mwaka 2017.
Pia Nchi hii kwa watu wa kipato cha chini wasiotumia zaidi ya unit 75 kwa mwezi wanalipa umeme bei rahisi mno, kama upo Kundi hili nenda Tanesco wakupunguzie bei, unit ni kama sh 100
Kwa Sisi tunaotumia zaidi ya unit 75 kwa mwezi bei ni roughly 350-360.
Ukicompare huko Duniani kwa Kaya za uwezo wa Chini I doubt kuna Nchi nyingi rahisi kushinda Sisi
Pia umeme wa Nyerere hautumiki sababu hakuna miundombinu, kujenga Tu Bwawa hakufanyi automatic umeme upatikane Nchi nzima, kujenga nguzo na miundombinu mengine mpaka ifike Nchi nzima kunahitaji matrilioni ya hela ambayo si wewe wala Serikali mwenye uwezo huo. Ni process itachukua miaka na miaka.
Nilisema humu kipindi cha jpm kua yawezekana akawa na idea nzuri kuhusu bwawa la uzalishaji umeme! But kwa system ya utawala wa Tanzania ni ngumu mnoooo kupata umeme wa uhakika moja kwa moja cz humo ndimo kuna madili mengi san. Na pia hawa watu hawatak kufanya kila kitu kwa wananchi then kesho wakose cha kujinadi!!!Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.
Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme zimepanda maradufu.
Yaani watanzania tunaona ni bora tusingelijenga tu maana limetumia kodi zetu nyingi kwa matarajio ya kuwa ingeshusha bei ya umeme lakini matokeo yake Samia kapandisha bei kuanzia huduma ya kuunganishwa huduma ya umeme hadi units tuzazouziwa.
Rest in peace jpm.
Unajua sometimes JPM alikua na nia nzur tu kweny hili but kuondoka kwake asilimia kubwa kumefanya hii ngoma ikawa business as usual.Mambo mengine ya JPM yalikua ni kujilisha upepo tu.
Muhimu umeme uwe wa uhakika tu 100%
Kama unahisi umeme unapanda daladala Sawa, Ile minguzo na distribution line ya Grid ya Taifa ukisoma kwa wataalam kwa kila km inacost mamia ya milioni mpaka Bilioni kadhaa tegemea na Eneo, halafu unahitaji kucover Maelfu ya kilomita, usione Serikali inanunua umeme nje kwa mikoa ya mpakani, ni Gharama kubwa Sana kusupply umeme.Umeanza vizuri lakini umeharibu mwishoni kwa kusema kujenga bwawa hakufanyi kuwa na umeme.
No, aliweza kushusha ghArama ya kuungamisha umeme kuwa 27,000 na ilifanya kazi, usitulishe matango pori
Unajua sometimes JPM alikua na nia nzur tu kweny hili but kuondoka kwake asilimia kubwa kumefanya hii ngoma ikawa business as usual.
Huo mradi unahitaji watu wenye akili nzuri ndio utaona faida yake, kwasasa tusubiri hadi CCM watakapoondoka madarakani.Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.
Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme zimepanda maradufu.
Yaani watanzania tunaona ni bora tusingelijenga tu maana limetumia kodi zetu nyingi kwa matarajio ya kuwa ingeshusha bei ya umeme lakini matokeo yake Samia kapandisha bei kuanzia huduma ya kuunganishwa huduma ya umeme hadi units tuzazouziwa.
Rest in peace jpm.
Alijitahidi kuwapa wale walio chini wapate mfano halisi ni kuunganishiwa umeme wa Tanesco kwa 27,000. Hii ililenga wenye kipato cha chini wapate umeme, Waliokuwa wanatoa milio kipindi cha Magu ni wale waliokwishapata,Na huyo huyo ndio alie pandisha malipo ya loarn board kutoka 9 - 15, na ndie alie Chota hela za Wastaafu huko NSSF mpaka mfuko ukateteleka na kuamua kuja na kikokotoo cha 45%.
Kizuri hakikosi kasoro.
😭😭😭😭Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika.