MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Likitokea hilo Nitatoweka hapa JF kwa muda kwani najua nitashambuliwa na wana Yanga SC kutoka kila Kona na najua Wananitamani mno ila kwa sasa Wananikaushia kwakuwa bado hawajacheza na hawajajua Matokeo ya leo huko nchini Tunisia.Leo tukiwapiga wapinzani wetu hakutakalika mitandaoni
Uzalendo kwanzaNimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.
Na hii siyo Kawaida ya Watu wa Yanga SC ninaowajua Mimi je, ni kwanini wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kufungwa Goli Moja na Horoya FC nchini Guinea Jana?
Nawatakia kila la Kheri Watunisia leo huko nchini Kwao Tunisia na kwa Mpira wao mkubwa wanaoucheza najua zikipungua sana ni Goli 7 au 9 Kudadadeki.
Sisi wananchi ni wazalendo,animals(Thimbaa) ndio sio wazalendo kwakuwa ni wanyama wa mwituni kama ulivyo wewe.Poleni club ya simba tunawatakia kila la kheri kwa mechi yenu inayofuata ,na hata ile ya marudio.Wanaichi kila kheri pia,tunataraji kupata ushindi sii chini ya goli mbili kule Tunisia leo, 🤔Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.
Na hii siyo Kawaida ya Watu wa Yanga SC ninaowajua Mimi je, ni kwanini wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kufungwa Goli Moja na Horoya FC nchini Guinea Jana?
Nawatakia kila la Kheri Watunisia leo huko nchini Kwao Tunisia na kwa Mpira wao mkubwa wanaoucheza najua zikipungua sana ni Goli 7 au 9 Kudadadeki.
Jana wakati tunaangalia mpira kati ya Horaya na Simba, nilimsikia mtu mmoja aliyewahi kuishi nchini Misri akisema kwamba mashabiki wa huko wanaungana kushangilia timu ya club ya nchini kwao inapocheza na timu kutoka nje bila kujali ushabiki wa club zao za ndani. Labda na sisi tunaanza kubadilikaNimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.
Na hii siyo Kawaida ya Watu wa Yanga SC ninaowajua Mimi je, ni kwanini wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kufungwa Goli Moja na Horoya FC nchini Guinea Jana?
Nawatakia kila la Kheri Watunisia leo huko nchini Kwao Tunisia na kwa Mpira wao mkubwa wanaoucheza najua zikipungua sana ni Goli 7 au 9 Kudadadeki.
Hamna kitu ni hofu tu waliyonayo hawa. Na jana watakuwa wamemsoma Simba kwa makini ili leo wakacheze kama yeye. Watunisia hawawezi kukubali kufungwa na timu hiyo hiyo mara mbili ndani ya miezi michache katika ardhi yao.Jana wakati tunaangalia mpira kati ya Horaya na Simba, nilimsikia mtu mmoja aliyewahi kuishi nchini Misri akisema kwamba mashabiki wa huko wanaungana kushangilia timu ya club ya nchini kwao inapocheza na timu kutoka nje bila kujali ushabiki wa club zao za ndani. Labda na sisi tunaanza kubadilika
Jamaa kawapiga kamba maana hakuna mshabiki wa zamalek atakayeshangila Al ahly eti kisa wanacheza na timu ya nje.Jana wakati tunaangalia mpira kati ya Horaya na Simba, nilimsikia mtu mmoja aliyewahi kuishi nchini Misri akisema kwamba mashabiki wa huko wanaungana kushangilia timu ya club ya nchini kwao inapocheza na timu kutoka nje bila kujali ushabiki wa club zao za ndani. Labda na sisi tunaanza kubadilika
Popoma bado tu hujala ban huku....[emoji16][emoji16]Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.
Na hii siyo Kawaida ya Watu wa Yanga SC ninaowajua Mimi je, ni kwanini wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kufungwa Goli Moja na Horoya FC nchini Guinea Jana?
Nawatakia kila la Kheri Watunisia leo huko nchini Kwao Tunisia na kwa Mpira wao mkubwa wanaoucheza najua zikipungua sana ni Goli 7 au 9 Kudadadeki.
Mtanzania sio wa kubadilika kirahisi,cc.Minocycline anashangaa yanga tutowazomea simba kwa matokeo ya jana na kuimbea yanga mabaya😀Jana wakati tunaangalia mpira kati ya Horaya na Simba, nilimsikia mtu mmoja aliyewahi kuishi nchini Misri akisema kwamba mashabiki wa huko wanaungana kushangilia timu ya club ya nchini kwao inapocheza na timu kutoka nje bila kujali ushabiki wa club zao za ndani. Labda na sisi tunaanza kubadilika
Nilikuwa nawaza kitu kma hiki ndgu yangu, kumbe hata wewe huko uliko pamoja na kwamb tumefungwa kuna utulivu wa hali ya juu. Hamna wa kunicheka ila ikitokea washinde jioni..tutakoma!Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.