Mbona wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kipigo cha Jana na Horoya FC?

Nilikuwa nawaza kitu kma hiking ndgu yangu, kumbe hata wewe huko uliko pamoja na kwamb tumefungwa kuna utuluvu wa hali ya juu. Hamna wa kunicheka ila ikitokea washinde jioni..tutakoma!
Ushindi uhakika tena kuanzia mbili🏃
 
Popoma wasalimie hapo Kawe, ushindi Leo ni bahati nasibu kwetu labda draw ndio maana hatutaki kuwacheka
 
Huu upumbavu Yanga wanaanza kuachana nao kama Ulaya wao wana deal na match yao ushaona ulaya Man U kamcheka Man City.
Usije warithisha watoto wako ujinga huu.
Kwani sisi tunavyochekana huku hao wa ulaya wanatuona??au Mimi Niko zangu Matejoo huku huko kwenye mitaa ya Manchester wakichekana kwenye mabar huko nitawaonaje???
 

Kaka hiko kichwa cha habari umetuuliza au umetuambia
 
Unataka uchekwe mara ngapi, watu washacheka mpaka washachoka sijui unataka kicheko gani kingine
 
Wanaogopa kutukana mamba kabla ya kuvuka mto.
 
Huu upumbavu Yanga wanaanza kuachana nao kama Ulaya wao wana deal na match yao ushaona ulaya Man U kamcheka Man City.
Usije warithisha watoto wako ujinga huu.
Wewe hujui kumbe raha ya mpira ni kuchekana hivo tutapoteza ile ladha ya mpira wetu
 
Umetumia Masaa mangapi Kukaa chini na Kutuandikia huu Upuuzi wako mrefu hivi na Unaoboa hata tu Kuusoma Wote?
 
Mto tutakaovuka mamba wake wote ni vibogoyo😀😀
 
Sisi hatucheki mamba kabla hatujavuka mto. Hiyo huwa ni tabia yenu Makolo.

Tumetunza nguvu, ila tukipata matokeo huko Tunisia, mtatamani dunia ipasuke iwameze!
 
Endelea kujibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnajifanya mnaujua mpira kumbe mabulula tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…