Mbona wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kipigo cha Jana na Horoya FC?

We jamaa ukapimwe akili. Yaani sisi mabingwa tutamani kufungwa!
Nawe ni mwana michezooo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli utopolooo.
 
Uzalendo tuliojaliwa Wana yanga , inapokuja michezo ya kimataifa inayoliletea taifa Heshima tunaungana na kuwa kitu kimoja tukiombeana Dua .
Wale wanaoenda eapot kupokea wageni ni kina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…