DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kama huku sio wote wako hap, kama huku tuNilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana.
Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana
Hawana raha Wala Amani , the nimeona wanaume was marekani hawana shida mademu zao kutoa kiss kwa wapita njia.
Eti unampa mtu salamu anakaa kimya kweli hii nchi haina wanawake that way watu wanakufa masikini
Kweli Africa is cursed continent
SureKule hawana pressure ya kuolewa kisa umri umeenda,hawana vikoba wala majukumu ya usingle mother,ukimpa mimba mnalea wote hata kama hamna ndoa
Hizo apoPicha ziko wapi Mkuu ?
Kuna siku nilipanda daladala nikamwambia konda kama hakuna siti ya kukaa nashuka , watu wakaanza nong'ona huyu kaka anaringa kama vipi anunue gari lake , watanzania wengi wanapenda mteseke wote ukigoma kuteseka wanadai unaringa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Bongo watu wengi wanapitia changamoto nyingi sana especially wanawake , ugumu WA maisha na kutelekezwa unawafanya washindwe kumaintain peace kwenye maisha yao .
Kuna report ilitoka na kuelezea Tanzania ni miongoni mwa nchi inayoongoza kwa idadi kubwa zaidi ya watu kutokua na furaha ya kudumu .
Nafikiri Tanzania iliwekwa kwenye top ten ya unhappiest country in the world kama si Africa
Wap unazungumzia, sheria tu zimewabana ila wangekuwa tu kama sisi wakidimbwi .Wanaume wa kule wanajua kutoa pesa, na huwa hawakimbii kulea mimba, ndo maana wanawake wa huko wako na furaha mda wotee.
Hii ndo sababu napenda wadada wa kizungu kwasababu mara nyingi zaidi Wana positive vibe ! 😍
Wapo hivyo kutokana na sisi wanaume , tusinge wapa attention ya kufeki kwao wangebadilika , wakulaumiwa ni sisi .Hii ndo sababu napenda wadada wa kizungu kwasababu mara nyingi zaidi Wana positive vibe ! [emoji7]
They always happy maintain their happiness lifestyle haijalishi wanapitia changamoto gani
Hawanaga kufake maisha ovyo ovyo kama hawa maslay queennss wenye njaa karlii [emoji3061]
Ukiamka usingizini nishtueNilikuwa YouTube Muda huu naangalia video za Jack wa USA this guy anaweka content za wanawake wa Marekani most of them wapo happy kwanza wazuri wakipewa salamu wanaitikia kwa bashasha kubwa Sana.
Njmegundua huku Tanzania umasikini wa uchumi umewafanya mademu kuwa watu wa hovyo Sana
Hawana raha Wala Amani , the nimeona wanaume was marekani hawana shida mademu zao kutoa kiss kwa wapita njia.
Eti unampa mtu salamu anakaa kimya kweli hii nchi haina wanawake that way watu wanakufa masikini
Kweli Africa is cursed continent
Si Ndio yaan wakiwa na shida / stress zao za kishamba wanataka na wewe uwe nazo ,Kuna siku nilipanda daladala nikwambia konda kama hakuna siti ya kukaa nashuka , watu wakaanza nong'ona huyu kaka anaringa kama vipi anunue gari lake , watanzania wengi wanapenda mteseke wote ukigoma kuteseka wanadai unaringa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Si kweli .Wapo hivyo kutokana na sisi wanaume , tusinge wapa attention ya kufeki kwao wangebadilika , wakulaumiwa ni sisi .