Mbona wanawake wa Marekani wapo very happy 24/7 to compare na hawa wa huku Tanzania?

Si Ndio yaan wakiwa na shida / stress zao za kishamba wanataka na wewe uwe nazo ,
hata kwenye biashara baadhi ya wateja wakimwona mtoa huduma ana furaha kuzidi wao wanasusa kununua bidhaa
Hahahahaha mtu alie toboa maisha bongo niwakuheshimu sana.
 
Mifumo yetu imewekwa kuwafanya wengi wawe masikini kutoboa labda uwe fisadi au mlamba asali.
Kodi ndio tools ya kutufanya tuwe masikini
 
Umasikini na stress za maisha na kukubali shida zako ziitawale amani yako ndio sababu kuu,
Kila mtu ana matatizo yake,kila race ina matatizo yao ila usikubali matatizo yaitawale amani yako ya leo coz shida haziwezi kwisha,unaweza kujikuta maisha yako yote umeishi na stress na hukuenjoy maisha,

The most important thing is to enjoy your life,to be happy,it's all that matters,
Even if happiness forgets you a little bit,never completely forget about it,
When you give joy to other people,you get more joy in return.
 
Nyerere alituwekea mifumo migumu sana kutoboa maisha tofaut na wakoloni
Ilikua ni rahisi kutoboa kimaisha enzi ya mkoloni kuliko enzi ya mwalimu
 
Hakuna wanaume walio na stress za ndoa kama wa ulaya na America , hakuna watu wanaogoapa ndoa kama hao , niamni ninachokuambia.
Mbna wako na furahaa mda wotee, pesa wanazo na wanajua kuhudumia wanawake wao, nyie wa huku mnalazimisha wao wawe km nyie, haiwezekaniiii
 
Umasikini na stress za maisha na kukubali shida zako ziitawale amani yako ndio sababu kuu,
Kila mtu ana matatizo yake,kila race ina matatizo yao ila usikubali matatizo yaitawale amani yako ya leo coz shida haziwezi kwisha,unaweza kujikuta maisha yako yote umeishi na stress na hukuenjoy maisha,

The most important thing is to enjoy your life,to be happy,it's all that matters,
Even if happiness forgets you a little bit,never completely forget about it,
When you give joy to other people,you get more joy in return.
Sure, alafu cha kushangaza stress nyingne zinatokana na kujilinganisha na wengne .
 
Sad generation with happy pictures
Uko sahihi ni kama Korea kaskazini mtu.ukienda kutalii ni amri kuwa ukiona watalii au wageni onyesha uso wa furaha waone kuwa ni raha kuishi Korea Kaskazini

Hakuna nchi wanawake wako desperate duniani kama wanawake wa Marekani

Ndoa huvunjika hadi za mabilionea akina Billy Gates nk na kuwaacha kwenye stress kubwa bila kujali ndoa imedumu miaka.mingapi na wana hela wote kiasi gani

Mwanamke mmarekani ha enjoy maisha kabisa kwa ufupi .Ni full stress hata awe na pesa vipi kuolewa hakuna wa kuwajali hata wawe na pesa na nyadhifa sababu midume mingi ya USA ni hooligans tu sishauri mwanamke yeyote wa Kitanzania kuolewa na mwanaume wa kimarekani bila kujali ni mweupe au mweusi Wanaume wenye u afadhali ni wazungu wa Ulaya.

Wamarekani achana nao waoane wenyewe wamarelani kwa wamarelani

Ukitaka pressure mwanamke wa Kitanzania olewa na mmarekani
 
Mbna wako na furahaa mda wotee, pesa wanazo na wanajua kuhudumia wanawake wao, nyie wa huku mnalazimisha wao wawe km nyie, haiwezekaniiii
Sisi umaskini ndio tatzo ila wazungu wengi wana matatzo ya ndoa hasa wanaume wengi wana msongo wa mawzo kwa sababu ya sheria zao za kumlinda mwanamke , zilizo vuka mpaka .
 
Mfano Netherlands haki za binadamu ziko hivi .Ukipanda kwenye basi ukikaa kwenye basi kukaa kwenye kiti mtoto anapewa nafasi ya haki ya kwanza.Kukaa kwenye kiti.HAKI ya Pili anapewa Mwanamke.Haki ya tatu anapewq Mbwa na mwisho kabisa anapewa Mwanaume

Hivyo mtu akiingia na mbwa mwanaume lazima upishe mbwa akae kama basi limejaa
 
Sisi umaskini ndio tatzo ila wazungu wengi wana matatzo ya ndoa hasa wanaume wengi wana msongo wa mawzo kwa sababu ya sheria zao za kumlinda mwanamke , zilizo vuka mpaka .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muongo tyuuh.
 
Umasikini na stress za maisha na kukubali shida zako ziitawale amani yako ndio sababu kuu,
Kila mtu ana matatizo yake,kila race ina matatizo yao ila usikubali matatizo yaitawale amani yako ya leo coz shida haziwezi kwisha,unaweza kujikuta maisha yako yote umeishi na stress na hukuenjoy maisha,

The most important thing is to enjoy your life,to be happy,it's all that matters,
Even if happiness forgets you a little bit,never completely forget about it,
When you give joy to other people,you get more joy in return.
True wazungu hawawazi kujenga,kula, kusomesha, kulala mifumo waliyoiweka ndio inabeba yote haya.
Mfano mkulima hawazi soko anajua kulima tu, mwanafunzi hawazi ada Bali kutimiza ndoto zao tu,ajira za uhakika,mtaji sio ishu.
Bongo wanawaza vikoba,makeup,kodi,chips,zaidi ya vibabu na waume za watu vijana hawana pesa za kuwatunza.
 
Hakuna wanaume walio na stress za ndoa kama wa ulaya na America , hakuna watu wanaogoapa ndoa kama hao , niamni ninachokuambia.
Sahihi kabisa ndio maana mianaume mingi imejitosa ndoa za jinsia moja kuoana wanaume kwa wanaume

Wanawake ulaya na Marekani kwa sababu ya uwingi wao hutumia wao kupitisha sheria za ajabu sana za kukandamiza wanaume

Population ya wanawake nchi zao kubwa kuliko wanaume Hivyo hutumia huo.mwanya kupitisha sheria za kuumiza sana wanaume.Yaani hata mwanaume akioa anakuwa more than a slave wa mwanamke. HAFURUKUTI.Mtumwa ana unafuu
 
Hao Bottoms si wanakua na sheria sawa na wanawake??au inakuaje? Hebu nijuze zaidi
 
Back
Top Bottom