Kukosa Exposure ni kitu kibaya sana, kwa Sasa wanawake wa Africa, Asia na Latin America ndio wana furaha katika maisha Yao kuliko wa marekani. Wanawake wa marekani hasa black Americans waliofanikiwa kimaisha ni wapweke sana.
Furaha kubwa ya binadamu haipo kwenye kula Bata na kucheka na kutabasamu, ipo katika kuwa na mahusiano mazuri na binadamu wengine hasa wale uwapendao na walio karibu Yako. Maisha ya ulaya kwa kiasi kikubwa yanakosa hii kitu.
Plastic smiles, maisha ya kwenye movies na tamthiliya, maisha ya kwenye mahojiano na watu maarufu, maisha ya kwenye social media yanadanganya sana siku hizi uhalisia hauki hivyo.
Kusifiwa, kupata likes, na watu kuadmire pics, na kutoa comments tamu tamu si kigezo Cha kuwa na furaha katika maisha.
Sent from my Infinix X6820 using
JamiiForums mobile app