Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Utofauti wake uko wapiHivi Nguo za hao akina Mark Zuckerberg na Bill Gates zinafanana na za Watoto wa Mghaibuni Mpinzani aliyeko Marekani?
Unajua watu wanaoishi kwenye mazingira duni ndio wanaochukulia suala la kuvaa nguo nzuri kama mbadala kuficha hali zao za kimaskini, mleta hoja akiwa mmoja wao na ndio maana waafrika wanakazana kupendeza nje hata kama ana hali ngumu. Mtu hana kazi lakini anataka kumiliki matoleo ya kisasa ya iPhone & samsung galaxy pindi yanapotoka wakati matajiri wanatumia nokia tochi!
Mkuu Genta,
Dada zetu wanababaikia rangi nyeupe tena hata vile vizee vinavyokaribia kustaafu kubeba maboksi ambavyo vimepata one time contract in Africa mwishowe ndio hayo yanatokea. Hakuna cha maana zaidi ya kupata watoto mulattoes na kuwa wajane.
Si ndio amepitisha bakuli la mchango kwa Watanzania jamani! Nahisi akili zimemruka huyu dada (kwa kuwaza kuwa ataishi kwa njia hiyo ya michango bila kufanya kazi). Kujitapa kote kule kuwa yeye tajiri sijui katokea familia ya kitajiri, ila sasa anaomba omba achangiwe.!! Kweli Mungu ni wa kuogopwa sana. Kwisha habari yake, imebaki story tu.Asante kwa kuipitia pia. Kama ni Watoto wako hebu jitahidi uwapigishe basi Pamba kwani hata Mimi wangu wa Tandale na Tandika wanawazidi wa Kwako kwa kupiga Pamba za maana japo ni za Karume. au huko Marekani ulipo Sheria yao ni kwamba Watoto wanatakiwa wavae Nguo hizo hizo mwezi mzima?
Si ndio amepitisha bakuli la mchango kwa Watanzania jamani! Nahisi akili zimemruka huyu dada (kwa kuwaza kuwa ataishi kwa njia hiyo ya michango bila kufanya kazi). Kujitapa kote kule kuwa yeye tajiri sijui katokea familia ya kitajiri, ila sasa anaomba omba achangiwe.!! Kweli Mungu ni wa kuogopwa sana. Kwisha habari yake, imebaki story tu.
Mavazi ni jambo la kawaida sana, naweza sema mleta mada ana tatizo la afya ya akili juu ya uchambuzi lipi ni muhimu kuliko lingine
mwanaume mwenzangu chondechonde acha kutetea ujinga mtaja vishwa shanga kiunoni......Wewe ni mmoja wa Watu wenye akili na kujua kufikiri vizuri humu JF na ambao huwa nawahitaji mno ili tuweze kuwafundisha wengine MAPOPOMA jinsi ya kufikiri na kuwa na mtazamo wa mbali. Mkuu yote uliyoyasema hapa ni kweli mtupu kwani Mghaibuni Mpinzani anaonekana huko Mamtoni / Marekani anaishi kama Wakimbizi waliokuwa Nyarugusu. Muonekano tu wa Watoto wake unakupa jibu kamili kuwa Mama yao anataabika mno japo kila mara anatutambia na ka Masters Degree kake ambako hata sikaoni anakatumiaje.
Napenda sana Thinkers wa Kutukuka kama Wewe Mkuu. Safi sana na nakukubali mno.
eti watoto wana njaa ina maana we ukuaji wa watoto huujui