gari ndefu kama treni
nani anataka wagon, gari fupi halafu ndefu kishenzi.
Usihatarishe maisha ya watoto wako.bossFamily car.
Gari imafanana na panya
HahahahaUsihatarishe maisha ya watoto wako.boss
Bora uwanunulie bodabodaπ π
Umeona eeeh?! ππππgari ndefu kama treni
Jamaa vip?Gari hii nikiona, huwa naifananisha na panya,
ππππππ
Poaa tyuuhJamaa vip?
Hujachaguliwa Mfanyakazi bora idara yako.Poaa tyuuh
Ngoja nicheke, mbna mie jobless Pro.Hujachaguliwa Mfanyakazi bora idara yako.
πSina gari ila hio gari mbaya kama nungunungu
π π Ujobless sawa huo upro umeanza lini πNgoja nicheke, mbna mie jobless Pro.
πππππ