Mbona watu ni kama wamezikimbia Toyota Wish, ni issue ilio technical au ni trend tu

Kama ishu ni idadi ya watu saba ni bora ninunuwe Mitsubish Outlander ya 2010/ Vanguard (7 sit)maana nitaweza kupita maeneo yenye ukorofi kidogo kuliko Wish.
Ni bei gani mkuu?
 
Mkuu inaonekana rumion uliiuza huku roho inauma maana kila uzi nikipitia kuhusu rumion sikukosi 😁
 
Mkuu inaonekana rumion uliiuza huku roho inauma maana kila uzi nikipitia kuhusu rumion sikukosi 😁
Ni gari tamu Sana hasa Kwa Sisi ambao tunaunga maisha haina mambo mengi na MTU yeyote anaweza kuishi nayo
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ comment zinafurahisha sana..mi nahisi zimepitwa na muda tu zilitrend 2014 huko.
 
Gari ndefu kama sinema ya kihindi. Mimi binafsi sijaipenda umbile lake,ni refu sana halafu gari ya uwezo mdogo. Ingawa kwenye mafuta iko poa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…