Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Asubuhi tunakuwa kazini.
Mitaa mingne ukiamia mchana majamaa yanaanza kuangalia nini cha kuja kuchukua usiku
 
Asubuhi tunakuwa kazini.
Mitaa mingne ukiamia mchana majamaa yanaanza kuangalia nini cha kuja kuchukua usiku
Nakubaliana na hoja yako mkuu, mpango mzima kuhama usiku. Na huwa nanunua salfeti kufungia vitu ambavyo kwa vyovyoye vitafit kuondoa sintofahamu kwa wananzengo wapya😂😂
 
Madereva wa kirikuu wanatuomba hio kazi tufanye usiku kwasababu wanakamatwa sana mchana na mabwana wale!
 
Kuhama usiku mara nyingi ni pale inapokuwa kuhama toka nyumba moja ya kupanga hadi nyumba nyingine ya kupanga. Siku ya kuhamia nyumbani kwake mwenyewe, uhamaji huwa mchana.

"Hee, kumbe wahama mwanakwetu! Wahamia wapi?" itabidi majirani waulize.

"Nahamia naniliu kule, nimejengaaaa 😀 Karibbuuuuuni!"
 
Wakuu,

Nina hoja fupi hapa, hivi mbona wakazi wengi wa Dar es salaam na miji mingine wanapenda kuhama usiku usiku tu? Mtu anatoka Keko anahamia Mbagala lazima atahamisha vitu usiku tu. Hivi kunani hapa? Wanaficha nini? Kwanini wasihame mchana au asubuhi?

Wakuu karibuni hapa mtujuze
Mkuu wanaficha magodoro yaliyobadirika rangi pamoja na madumu ya plastic, zamani ilikuwa wanaficha ''sabuwufa'' ila mchina katuokoa siku hizi ''sabuwufa'' si mali tena kila mwendesha bodaboda anayo.
 
Wengi wanapenda kuhama usiku kwa sababu magodoro mengi yao yanakuwa yamechoka sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu tunataka tustirike makazi mapya au ndounataka watu tuwe talk of the street[emoji16][emoji16]waja hawakawii kukupost na vyombo yako viwili

Kingsmann
 
Back
Top Bottom