Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Swali la muhimu sana hili.Gari za mizigo zitaishia na kuanzia Kwala?
Watamheshimu nani sasa?Watamheshimu tu mwishowe, wapende wasipende.
Muheshimiwa doktaWatamheshimu nani sasa?
kwala ndio wapi?“Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam…tumetengeneza na yadi ya zege, tumeunganisha na Reli ya TRC ya MGR” - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mbossa
Kwala ndio wapi huko mkuu?Tushakutanaga na fisi huko
Tulienda kutoa mzigo 😄
Watu wa TRA nk wakipangiwa huko wanakuona nuksi
Ova
“Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam…tumetengeneza na yadi ya zege, tumeunganisha na Reli ya TRC ya MGR” - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mbossa
Kama unaenda mlandiz round about unaingia kushoto unafata njis ya zege ilekwala ndio wapi?
Sahv kwa siku wanapeleka kontena mara 2 kuonekane kuna jaaa mama si anakaribia kwenda huko hv karibuni....Hii ikitekelezwa kwelii..
SGR ndio ikawa inapeleka ma container yote kwala , itakuwa unyama sana.
Maana malori mengi sana Mandela Road na Kimara
Hekta tano ni ekari 12.5..eneo ni la hekta 500.
..lakini ni hekta 5 tu ndio zimejengwa yadi ya zege kwa ajili ya makonteina.
..msikilize vizuri mhusika toka tpa anayehojiwa.
Hekta tano ni ekari 12.5
Round about ya mizani ya vigwaza unaingia kushoto Kama ukitokea darKwala ndio wapi huko mkuu?
Ni pale vigwaza kwenye mnada wa nyama ya mbuzi alafu kwa mbele kidogo baada ya sheli kuna njia panda ya kwenda bandari kavu inayoitwa kwalaKwala ndio wapi huko mkuu?
Ayaa! ushampoteza tayari yaani uache kuitaja vigwaza ukaitaje mlandiziKama unaenda mlandiz round about unaingia kushoto unafata njis ya zege ile
Ova