Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,445
- 7,987
Ni mkoa wa pwani kabla hujafika chalinze kuna sehemu inaitwa vigwaza kuna mnada wa nyama ya mbuzi ukifika uliza njiapanda ya kwenda kwala kwenye bandari kavu utaelekezwa!kwala ndio wapi?
Ni mkoa wa pwani kabla hujafika chalinze kuna sehemu inaitwa vigwaza kuna mnada wa nyama ya mbuzi ukifika uliza njiapanda ya kwenda kwala kwenye bandari kavu utaelekezwa!kwala ndio wapi?
Mradi fake kama government ingekuwa serious igeleta mkandasi wa kiwango.Sio maigizo ya kitoto...eneo ni la hekta 500.
..lakini ni hekta 5 tu ndio zimejengwa yadi ya zege kwa ajili ya makonteina.
..msikilize vizuri mhusika toka tpa anayehojiwa.
Hii bandari ndio ile ambayo ilisemekana Ina mkono wa Jakaya na Mzee Magu baada ya kupokea kijiti akaipiga chini au?Ni pale vigwaza kwenye mnada wa nyama ya mbuzi alafu kwa mbele kidogo baada ya sheli kuna njia panda ya kwenda bandari kavu inayoitwa kwala
wapi? ndo kwanza icd zinazidi kuongezeka mjini, chalamdomo kaongea kuhusu maroli kapigiwa simu moja tu kimyaGari za mizigo zitaishia na kuanzia Kwala?
Usiombee mzigo wako wa local upelekwe huko 😄Hii bandari ndio ile ambayo ilisemekana Ina mkono wa Jakaya na Mzee Magu baada ya kupokea kijiti akaipiga chini au?
Inakuwaje ukipelekwa uko?Usiombee mzigo wako wa local upelekwe huko 😄
Ova
Nadhani ndio mpango--bado haijaanza kazi moja kwa moja.Kama ni hivyo!? Haya malori yanafuata nini Dar es salaam katikati ya mji!? Mmeruhusu vipi ICD sheklango malori yanafunga mpaka barabara yanazunguka tbl yanaenda ubungo mazima mpaka taa za external!? Mmeruhusu vipi ICD mchicha inayo jaza foleni kwenye flyover ya tazara kuelekea vinginguti/airport, yaani inaisha tu flyover unaweka junction na malori kama yote, kwanini hapa mjini zisibaki kontena za wafanyabiashara wa dar, na hao wengine wote mpaka wa kopa waishie kwala!? Yaani ukitoka na kopa kongo ushushie kwala baada ya hapo treni ndio izisogeze bandarini, na hayo makontena ya mikoani na nje yasogezwe kwala malori yaishie huko!? Misugusugu tu kwenye hakufai usumbufunwa foleni kila kukicha kwanini!!!?
Ni sahihi kabisa kwa stratergy hiyo, ila dodoma ni mbali, kuyasogeza dodoma kwa treni ni liability kuliko kwala au chalinze ambapo ni affordable na kwala pakianza kufanya kazi basi barabara kuanzia kibaha mpaka chalinze ita tanuliwaNadhani ndio mpango--bado haijaanza kazi moja kwa moja.
Ila mimi ndio ningekuwa TPA--ningesogeza mbele zaidi dry port.
Dry port ingetakiwa iwe Dodoma ---rahisi kusambaza kotekote--najua ipo pale strategically kwa ajili ya wenye sheli zao za mafuta-wauza matairi,vipuri etc wasibaki wakavu.
Treni ingepiga cargo routes back to back---Road toll ya malori iwe kubwa.Serikali ingepata pesa nyingi kwa haraka,wafanyabiashara wangepunguza gharama ya mizigo.Wafanyabiashara wa vipuri na mafuta ndio wataumia zaidi.
Sasa kama wee unataka kushusha mzigo wako ubungo au mbezi,tegetaInakuwaje ukipelekwa uko?
Mizigo itachukua siku ngapi kufika hukotumeunganisha na Reli ya TRC ya MGR” - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw. Plasduce Mbossa
Huko kunafaa mizigo ya transit tuNi sahihi kabisa kwa stratergy hiyo, ila dodoma ni mbali, kuyasogeza dodoma kwa treni ni liability kuliko kwala au chalinze ambapo ni affordable na kwala pakianza kufanya kazi basi barabara kuanzia kibaha mpaka chalinze ita tanuliwa
Transit zote, na hata mikoani, ila mizigo ya dar ibaki hukuhuku mjini, na wale wanao leta copper kutoka congo wasije dar shehklango wa mwananchi waishie hukohuko kwalaHuko kunafaa mizigo ya transit tu
Ila wakati mwingine mizigo iliyo ovastay wanapeleka huko
Ova
Kwala inaweza beba 30% tu kwa mwakaHii ikitekelezwa kwelii..
SGR ndio ikawa inapeleka ma container yote kwala , itakuwa unyama sana.
Maana malori mengi sana Mandela Road na Kimara
Copper wachina si walipewa bandari kavu nyuma ya mitambo ya gas...ubungo hapoTransit zote, na hata mikoani, ila mizigo ya dar ibaki hukuhuku mjini, na wale wanao leta copper kutoka congo wasije dar shehklango wa mwananchi waishie hukohuko kwala
Kweli kabisa huko ni kwa mizigo ya transit ingepelekwaKwala inaweza beba 30% tu kwa mwaka
Hapo sana sana mizigo ya transit ndo itaenda huko
AmenWatamheshimu tu mwishowe, wapende wasipende.