Mbossa: Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam

Mbossa: Bandari kavu ya Kwala ni mara tano zaidi ya ukubwa wa Bandari ya Dar es Salaam

Vipi huko Kwala kuna plugs za reefers containers ?

Wanashusha na kupakia kutumia crane aina gani Reach stacker au handlers?

Itabidi nifike huko kuna fursa nizicheki
Wana lidude kama hilo liko moja tu na kuna wakati lilikuwa bovu

Ova
 

Attachments

  • IMG-20250731-WA0001.jpg
    IMG-20250731-WA0001.jpg
    42.4 KB · Views: 14
Vipi huko Kwala kuna plugs za reefers containers ?

Wanashusha na kupakia kutumia crane aina gani Reach stacker au handlers?

Itabidi nifike huko kuna fursa nizicheki
Reach stacker mkuu

Ova
 
Serikali ijenge hii bandari aisee.. itaokoa sana kupunguza foleni dasalama
 
Wangezijenga Bandari kubwa Lindi au mkuranga ziwe ni Bandari maalum kwa mizigo ya Ndani ya Tanzania tu, meli zisambae kusiwe na foleni ya Meli Dar, Bandari ya Dar, Tanga na Mtwara ziwe Bandari za mizigo ya kimataifa tu kama ilivyokuwa kule Darban South Africa ambayo ni bandari ya kimataifa na bandari za Capetown, East London, pot Elizabeth ni kwa ajili ya kutoa kuingiza mizigo ya ndani ya Nchi, ijengwe Bandari mpya kubwa au wafufue bandari ya Bagamoyo pia
Magufuli alishavuruga hii mipango.
 
Back
Top Bottom