Picha yakeunaitwaje huo wimbo
Naamini mtazamo kama wako ndio uliomchelewesha washabiki wengi wa aslayy wamejenga dhana ananyemelea nafas ya as lay so wameji position kumkataa but ana talent sana atakuja kueleweka ata kwa kuchelewa mimi mpk nimemfollow insta
Mbosso yupo vizuri..ila walikosea kumpambanisha na Aslay angalau wangesema beka kidogo...Mashabiki wa Mbosso ndio wana iyo kasumba maana baada ya kuachia ile 'Watakubali' walianza na mbwembwe kua Aslay kapata mbabe ila naona bado anatembelea rimu ndio maana nikauliza uyu ndie mlikua mnaamini ni mkali zaidi ya Aslay.
Aslay levo zake kina alikibaMbosso yupo vizuri..ila walikosea kumpambanisha na Aslay angalau wangesema beka kidogo...
Aslay Levo zake kina kiba.Mbosso yupo vizuri..ila walikosea kumpambanisha na Aslay angalau wangesema beka kidogo...
How? jibu hojaFoolish
"...queens" # queen's.
Kweli mkuu unajua.[emoji2]
Wimbo mzuri sana kati ya alizo wai kutoa...
Wimbo mzuri sana kati ya alizo wai kutoa...
Analialia tu. Mbosso siyo hadhi ya wcb kiukweli.
Wangemchukua yule Dogo Beka
Aslay amekosea kitu kimoja tuu. Marketing. Nyimbo zake hachezwi Kenya. Kwa hisia zangu yuko fiti mbaya mbofu.Kabisa! aslay ni noma
kilizi ndio nn? you sound só lumpenSINZA PAZURI we jamaa utakua kilizi Sana
Huu wimbo mkubwa sana asee...huko mitaani kila kona inaskika hii kitu tu
Wimbo wa picha yake ndio ujio mwingine Mbosso kutoka wcb.
Safari hii producer ni mhindi mwenzie Akili the brain, ama kweli producer wa sasa kamtendea haki wimbo una hisia na kunachemistry kati ya mwimbaji na mtayarishaji.
machozi lazma yakutoke kama una hisia za karibu.