Mbosso arudi kivingine kukutoa machozi, Laizer alikuwa anamkosea

Mbosso arudi kivingine kukutoa machozi, Laizer alikuwa anamkosea

Naamini mtazamo kama wako ndio uliomchelewesha washabiki wengi wa aslayy wamejenga dhana ananyemelea nafas ya as lay so wameji position kumkataa but ana talent sana atakuja kueleweka ata kwa kuchelewa mimi mpk nimemfollow insta

Mashabiki wa Mbosso ndio wana iyo kasumba maana baada ya kuachia ile 'Watakubali' walianza na mbwembwe kua Aslay kapata mbabe ila naona bado anatembelea rimu ndio maana nikauliza uyu ndie mlikua mnaamini ni mkali zaidi ya Aslay.
 
Mbosso yupo vizuri..ila walikosea kumpambanisha na Aslay angalau wangesema beka kidogo...
 
Analialia tu. Mbosso siyo hadhi ya wcb kiukweli.

Wangemchukua yule Dogo Beka
 
Analialia tu. Mbosso siyo hadhi ya wcb kiukweli.

Wangemchukua yule Dogo Beka

hahahahaha beka msanii wa vijijini kama bestnasso anachojua kupayuka... kaa hapo hapo uone kali za mbosso
 
Wimbo wa picha yake ndio ujio mwingine Mbosso kutoka wcb.

Safari hii producer ni mhindi mwenzie Akili the brain, ama kweli producer wa sasa kamtendea haki wimbo una hisia na kunachemistry kati ya mwimbaji na mtayarishaji.

machozi lazma yakutoke kama una hisia za karibu.

Huu wimbo mkubwa sana asee...huko mitaani kila kona inaskika hii kitu tu
 
Back
Top Bottom