Mbosso badilika, gemu itakushinda

Mbosso badilika, gemu itakushinda

Hata Rayvanny is boring, ukweli tuuseme. Mtu ambaye haboi WCB ni mwenye WCB yake na Harmonize naye alikuwa anajitahidi kutokuboa, tena Hamo alikua anajitahidi sana. Wengine wote wanaboa AF! Rayvanny anajua sana kuimba sijui kwanini manyimbo yake mengi ni mabaya mabaya yanaboaaaaaaa, huyo lavalava nilimsikiliza mwanzo sasa siwezi tena Na Mboso pia. Wanarudia sana mashairi. Ujinga ujinga tu.

Comments zimenichekesha tho!
sio lazima umpende wewe ndugu. Rayvanny ndio msanii anaye sikilizwa zaidi Afrika mashariki nyuma ya Diamond.
 
Yani
Ahlan wasahlan wanajukwaa,

Huyu kijana wa kuitwa Mbosso "Khan Mushedede" kutoka viunga vya WCB kiundashi, melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema.

Shida yake ni moja tu: habadiliki, kila siku nyimbo zile zile, uandishi ule ule, mahadhi yale yale. Kila wimbo anataja maandazi, kachori, chapati, mishikaki; mara nisugue, mara nikande, mara nibebe, mara niteme n.k.

Kiukweli inabidi abadilike kama anataka kufika mbali na kudumu kwenye gemu kwa muda mrefu. In short, mashabiki wamemchoka. Ushahidi ni huu wimbo wake mpya wa ate; mahadhi yale yale, uandishi ule ule, hadi mashabiki wameamua kumchana abadilike wamemchoka.

Yangu ni hayo tu.

"Njoo kichwa kichwa ule za uso saba"
Yani nmecheka,duuuh. Kifuatacho mara muhogo,kitumbua,ndizi,kiazi.
 
Back
Top Bottom