Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako wapi hao siku hizi???Yamoto band ilibebwa na Aslay na Beka flavour
sio lazima umpende wewe ndugu. Rayvanny ndio msanii anaye sikilizwa zaidi Afrika mashariki nyuma ya Diamond.Hata Rayvanny is boring, ukweli tuuseme. Mtu ambaye haboi WCB ni mwenye WCB yake na Harmonize naye alikuwa anajitahidi kutokuboa, tena Hamo alikua anajitahidi sana. Wengine wote wanaboa AF! Rayvanny anajua sana kuimba sijui kwanini manyimbo yake mengi ni mabaya mabaya yanaboaaaaaaa, huyo lavalava nilimsikiliza mwanzo sasa siwezi tena Na Mboso pia. Wanarudia sana mashairi. Ujinga ujinga tu.
Comments zimenichekesha tho!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huu uzi hauchoshi wala hauboi,
Sijui Mboso alipita huku akajionea sambusa zake na kachori zilivyokinaisha.
Yani nmecheka,duuuh. Kifuatacho mara muhogo,kitumbua,ndizi,kiazi.Ahlan wasahlan wanajukwaa,
Huyu kijana wa kuitwa Mbosso "Khan Mushedede" kutoka viunga vya WCB kiundashi, melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema.
Shida yake ni moja tu: habadiliki, kila siku nyimbo zile zile, uandishi ule ule, mahadhi yale yale. Kila wimbo anataja maandazi, kachori, chapati, mishikaki; mara nisugue, mara nikande, mara nibebe, mara niteme n.k.
Kiukweli inabidi abadilike kama anataka kufika mbali na kudumu kwenye gemu kwa muda mrefu. In short, mashabiki wamemchoka. Ushahidi ni huu wimbo wake mpya wa ate; mahadhi yale yale, uandishi ule ule, hadi mashabiki wameamua kumchana abadilike wamemchoka.
Yangu ni hayo tu.
"Njoo kichwa kichwa ule za uso saba"
sio lazima umpende wewe ndugu. Rayvanny ndio msanii anaye sikilizwa zaidi Afrika mashariki nyuma ya Diamond.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiih khaaaahNilitegemea baada ya kuimba jibebe na kaka yao walijifunza. Yeye na yule mvimba mashavu.