Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Huyu ni wew
IMG_20211011_195427.jpg
 
Hivi ukimpa adhabu mwanao kisha ukasema adhabu hii sasa inatosha unakuwa umeshindwa?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hivi kwenye mpambano wa ndondi ukijitoa ulingoni katikati ya pambano tafsiri yake ni nini? Umepigwa TECHNICAL KNOCKOUT!

Na kwenye mechi ya mpira timu inayotia mpira gambani na kuondoka kabla ya mechi hupoteza mechi hiyo na timu pinzani hupata pointi tatu.

Kila aliyesikia na kusoma mwenendo wa kesi hii aliona wazi jinsi upande wa mashtaka ulivyoelemewa.
 
Chifu Hangaya alibebeshwa tu mzigo huu. Hili jambo lilibuniwa wakati wa lile jibwa kutoka burigi. Alhamdulilah!
Kama ni hivyo Mbowe angeachiwa tangu day 1 alipokamatwa!

Na bado, hata Mbowe alifikiri tatizo ni hilo jibwa lako la burigi ila alipokanyaga waya tu akajikuta ukonga, akabaki anashangaa inakuwaje tena wakati lile jibwa limekufa?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu usiwe pumbavu kiasi hiki!

Mtu kasota rumande karibia mwaka, na ndio lengo la ccm hilo au wewe ulifikiri ccm wanataka nini zaidi ya hicho?

Utakuta mnaanza kushangilia kama mazuzu! Yani ni sawa na mtu anakubutua makofi ya kutosha alafu baadae anakuambia nenda tu, kisha unaanza kushangilia!
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
vyovyote vile Mbowe ni mshindi aibu kwa jamhuri na serikali ya ccm+MAZATOZO
 
Yaani ni contradiction kubwa. Sijui wanasheria za jinai watasemaje?

DPP huwa anaingiza “nolle prosequi” kama hana ushahidi madhubuti dhidi ya mtuhumiwa. Sasa hapa wameacha kesi imeendelea hadi mahakama kuthibitisha kuwa ushahidi wa mwendesha mashtaka umewakuta kina Mbowe wana kesi ya kujibu. Kabla hawajaanza kujitetea DPP anajitoa! Mahakama inasimama wapi hapo?

Ni aibu juu ya aibu!
Jaji amefedheheshwa sana na ndio maana ametoa amri Kwa hasira!Na akasema waachiwe Leo Leo na si vinginevyo!
 
Sasa aende kujifanya shujaa akafanye mambo ya ajabu na kulazimisha mambo yaliyopo nje ya sheria atarudi tena na ikumbukwe msimamizi wa sheria ni jeshi la polisi na si vinginevyo.
 
Ninachokiona ni kwamba serikali imeogopa aibu ya mbowe na walinzi wake kuachiwa na mahakama kwa mushinda kesi. Imebidi mwendesha mashtaka wa serikali afute kesi kwa shingo upande kabisa.
 
Tofauti hapo ni kwamba hawamuabudu yeyote bali wanaonyesha hisia za furaha....kila mtu ana aina yake ya kuonyesha hisia...Tazama mipira au maonyesho ya mziki nk
CHADEMA wanaonyesha hisia kwa kugalagala 🤣🤣🤣.

Waone na hawa wenzao!

 
Back
Top Bottom