Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Tuliaa dawa ifanyee kaziiSasa aende kujifanya shujaa akafanye mambo ya ajabu na kulazimisha mambo yaliyopo nje ya sheria atarudi tena na ikumbukwe msimamizi wa sheria ni jeshi la polisi na si vinginevyo.
Akirudia tena atapigwa tuuuu mana hakuna namna!Nasikia Gaidi limelia weeeeeeeeee hadi limetoa mikamasi ndio likaonewa huruma.
Hongera sana mama, akirudia tena kuleta upumbavu wake asije kusema hajaambiwa.
Nyani la Chato.
Na wewe unawasubiri wote ili upate Agenda.Zumaradi na mbowe mbona n maji na mafutaa mkuu!!
Maana zumaradi anasubiri neno la MUNGU
Mbowe anasubiri siasaa
Nyokooooo na badoWafuasi wa Kibwetere Gaidi Mbowe hao
aliye weka mpira kwapani nanisasa hapo kwani nani kashinda? kesi haijamalizika mwisho utasema mbowe kashinda? kahurumiwa awashhukuru wakuu wa dini mama kawaelewa
Mungu anajibu maombiDuh! Hebu waoneni hawa. Wana tofauti gani na wale wafuasi wa yule mfalme Zumaridi?
nasikia leo ana press uchwara na TCDZitto anasemaje
Alitia huruma mno hadi makamasi yametoka,maza akaona isiwe tabuNyokooooo na bado
Wewe si ulikuwaga humu unatamba Mbowe wetu atakula mvua za kutosha. Sasa umebaki kujamber jamber mwamba amerudi kujumuika na familia yake. Pia mwamba amewwza kuwasaidia kutoka kina ligwenya na Adamo na bwire. Utukufu wa Mungu utukuzwe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapanic nini sasa dogo?
Kwanini unakuwa na hasira wakati tumeshawaachia?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kama jina lake... Free man!Freeman
Funguka mkuuDaah. Ninaandika ninamfuta, yaani nafuta tu. Nitaandika siku nyingine. Aibu ya Mwaka.
Shida ni kweli ipo huku uraiani...mahakama na magereza hizi issues huwa tunawasingizia tu shida iko kwetu uraiani huku tungekuwa na hofu ya Mungu haya yote yasingekuwepo kwa sababu sisi kwa sisi ndiyo tunasingiziana makosa na kupelekana huko sasa mpaka mahakama ije ijuwe huna kosa umesota sana na pengine mahakama ishindwe kujuwa kuwa huna kosakutokana na mshitaki alivyojipanga kukushitaki mahakimu siyo malaika waweze kujua moja kwa moja kuwa huyu hana kosa wao wanacheza na sheria tu
Asilete kabisa habari zake za kijinga,no more sorry for him,NeverAkirudia tena atapigwa tuuuu mana hakuna namna!
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app