Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Mahaba ya kijinga jinga kwa taifa la watu wajinga jinga.
Waliofungua kesi ya mbowe akili zao zinamatope inabidi wakachunguze milembe.
Chadema akili zao hazipo sawa maana wanapenda sana kususa na kuzila kama mademu
h8
Ccm akili zao ni za ajabu ajabu Sijui hiki chama kina DNA za wizi wizi.
Yaan Nchi hii kila kitu ni ovyo
Wazungu waje watutawale kwanza..Hili ombi namuomba Mola wangu kila siku