Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

Huyu Mbowe si ni Sawa Sawa Na baba ako mzazi kabisa?

Bora ungemuita kamanda Tu ingetosha but " kaka " hapana

Kwa wewe Deogratius Munisi kumuita Mbowe kaka mimi ninaona kama utovu wa nidhamu Kwa Sababu Mbowe kwako ni Sawa Na baba wa kukuzaa.

# Karibu mtaani kamanda Mbowe.

# Freeman Mbowe mbele Kwa mbele.

# Mama Samia mbele Kwa mbele.







 
Wahenga waliyasema kuwa kila lenye mwanzo lazima liwe na mwisho.

Leo hii tunampokea Nelson Mandela wa Tanzania na historia imeandikwa kuwa kila penye mwanga huwezi kulazimisha giza litawale.

Tulianza na Mungu, Tupo na Mungu na tutaendelea na Mungu na kumaliza na Mungu.
Your browser is not able to display this video.
 
Watu walikua wanasubiri kwa hamu Sana IGP akitoa ushahidi wake. Mawakili wa serikali wametupunja utamu kwa kumalizia na the likes of Swila. We wanted bigger fish.p
 
Kumbe unakubali ya kwamba Serikali ya CCM huwabambikizia watu wasio na hatia kesi na kuwatesa magerezani?
Mnatofauti gani na serikali ya kishetani kama mwatenda hayo?
 
Taifa letu limefikia pabaya kabisa maana haki hakuna kabisa.

Limekuwa ni taifa lenye kusikiliza walio na pesa na wasio na pesa au connection wanafungwa huku wenye pesa na connection wanaachiwa.

Hakuna haki hapa Tanzania kila kitu ni kunyanyasana tu uonevu.
 
Mataga pori umepanic baada ya DPP kuingia mitini.
Najua leo utaharisha damu kweri-kweri🤣🤣🤣

Pambafu.
 
Nyani Katemeshwa Bungo,
Hii ni aibu kwa Serikali ya CCM na genge lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…