Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Naona leo umeg'aka sana eti kuna watu wanasema wewe ni msaliti. Hii ni kweli kabisa wewe ni msaliti na unapenda sana ndululu.
Mwaka 2015 tulikubalika kiasa cha almanusura tuchukue dola . Maana CCM ilikuwa imechafuka kwa ufisadi.
Lakini ukauza chama chetu kwa Lowasa aliyekuwa amaechafuka.
Leo hii umetusaliti kwa kulamba asali.
Hata sakata la Bandari aliyekomaa sana ni Lissu. Wewe hamna. Wewe ni msaliti tu bana.