The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Hawawezi tamka hadharani,hayo ni maneno ya humu mtandaoni yaani slung za humu humu.Unaujua uhalisia wa kilichotokea pale Furahisha,uzuri nilikuwepo Live kwakuwa mimi nipo hapa hapa Mwanza. Endelea kulumbana na Makamanda wenzio huku ukimtolea povu M/Kiti.Hii ndiyo Mwanza na nilikutahadharisha haitowaacheni salama.Vipi kuna nani alifunua mdomo wake kutamka hata neno Sukuma Gang?
Wewe ni nani bhana? Bhwana matusi siyo?Unadhani mimi ni wa siasa nyepesi za usukuma nansukuma gang boss? Tazama hii id vizuri, kisha waulize wenzio hapo Lumumba watakupa maelezo ya kutosha.
Sasa mzee issue ya wasukuma wapi na wapi kuhusu wewe kuwa timu heche. Ona sasa ulipo ibukia. Wasuka wapo zaidi ya 20m.Yaani hapa ndio utajua umeingia penyewe, lazima ukae babu. Kama hata wasukuma wamegoma kufuata maagizo yenu kundi haramu la sukuma gang, basi utajua hujui.
Unaujua uhalisia wa kilichotokea pale Furahisha,uzuri nilikuwepo Live kwakuwa mimi nipo hapa hapa Mwanza. Endelea kulumbana na Makamanda wenzio huku ukimtolea povu M/Kiti.Hii ndiyo Mwanza na nilikutahadharisha haitowaacheni salama.Vipi kuna nani alifunua mdomo wake kutamka hata neno Sukuma Gang?
Sasa mzee issue ya wasukuma wapi na wapi kuhusu wewe kuwa timu heche. Ona sasa ulipo ibukia. Wasuka wapo zaidi ya 20m.
Nimekuuliza Heche ndiye anafaa kuwa mwenyekiti chadema?
Hawa vijana wa CDM wakiweka bundles zao na wakaflood comments hapa huwa wanajiona wamemaliza kila kitu.Ngoja tuwaache watoane macho kwa hotuba ya Mbowe kwanza kabla hatujaanza kuwahoji maswala ya msingi ya mkutano wao wa leo.Hawawezi tamka hadharani,hayo ni maneno ya humu mtandaoni yaani slung za humu humu.
Huwezj cheka kwa nguvu wakati unatoleana povu na wenzio kwa hotuba ya Mwenyekiti.Malizana kwanza na hao kisha urudi hapa tuendeleze mjadala.Nimecheka kwa nguvu, kufunua mdomo ili iwe nini, ulisema wasukuma hawatakuja. Sasa walitokea wapi? Watu wameongea walichotaka. Kama kuna ulichotaka waongee ungeomba mic upewe utoe hayo maagizo.
Kunywa maji ya baridi kwanza utulize munkali.Mwenyekiti kakudisappoint na ile hotuba yake[emoji2368]Acha wasukuma kuwa zaidi ya 20m, hata wangekuwa 200m who cares. Hilo la Heche halina mjadala boss, na yeye akizingua tunamdiss tu. Inshort haturembi.
Kunywa maji ya baridi kwanza utulize munkali.Mwenyekiti kakudisappoint na ile hotuba yake[emoji2368]
Nipo upande wa Wasukuma,baada ya Mkutano naungana na Mbowe pia.Haya povu ruksa unaanzia wapi kwa Wasukuma au kwa Freeman?Uko upande wa mwenyekiti au wasukuma? Nijue uko kwenye ipi kwanza.
Yaaani MKUTANO MUMOJA tuuuu mumeanza kubalanguanaa, duuuuuuh. Mnachekesha mjueeHakuna watu 99% walioichagua CCM. 2020 hakukuwa na uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kama umishiwa na utetezi wa hoja, ni bora ukae kimya kuliko kuleta upotoshaji usio na tija yoyote.
Mtoa mada hapendi kuona Mbowe anakosolewa.....mvumilie tuKaka tupe source zako kama msomi usiongee kama mshabiki wa kisiasa!!!
Na hajui shida za watanzania masikiniMtoa mada hapendi kuona Mbowe anakosolewa.....mvumilie tu
Wewe unaamini TBC?!Wakuu habari!
Mbowe kawatolea mapovu wenzie huko hata hawaelewi.
Nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Soma mwenyewe hapa 👇