Mbowe acha kutetea watu wapumbavu

Leo walitegemea aitukane serikali ili wapate maneno ya kusema kuwa upinzani hauna jipya.ila Mbowe kushukuru maridhiano nimegundua imewauma wengi sana tuendelee kumpa moyo malengo yatafikiwa.
 
Hao unaowapigia chapuo walikuwa wapi wakati Mbowe anafungwa na utawala dhalimu wa dikteta uchwara magufuli?
 
Mbowe ni kiongozi yuko sahihi kutoa mwelekeo wa chama chake kwa misingi ya maridhiano, angalau CDM mnaweza kuitikisa CCM ili mradi mwende nayo kisayansi siyo kimabavu hamtaiweza zaidi ya kuishia kukimbilia nje ya nchi uhamishoni.
Hii watakuelewa wachache wenye akili mkuu.
 
Hakuna anayetaka maridhiano ya kitapeli. Kiongozi anayeendekeza maridhiano ya kitapeli hatumuelewi. CCM hawana mabavu yoyote zaidi ya kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Kama Mbowe anataka maridhiano na ccm, afanye maridhiano hayo kimpango wake.
Si mliambiwa muandamane mliishia wapi? Hii Tanzania ujasiri mnaouonesha humu jukwaani onesheni na kwenye field tutawaelewa. Mbowe ameshawajua watanzania anajua namna ya kuendesha siasa za opposition kwa sasa. Tulieni muache vihere here.
 
Chadema haikujengwa na mabilioni bali moyo wa wananchi na vijana wa kupigania mabadiliko...na ndiyo maana ni chama kikubwa kinachoungwa mkono na watu wengi wa hali zote....inawezekana mchango wa bilioni 3 ukawa mdogo kulinganisha na elfu 50 ya mimi machinga...kutamka jinsi unavyogharamia au kujitolea ina maana wengine tusiwe na haki ya kushirikishwa kwenye maridhiano au kujua tunaridhiana kitu gani?
 
Si mliambiwa muandamane mliishia wapi? Hii Tanzania ujasiri mnaouonesha humu jukwaani onesheni na kwenye field tutawaelewa. Mbowe ameshawajua watanzania anajua namna ya kuendesha siasa za opposition kwa sasa. Tulieni muache vihere here.

Mbowe aliandamana? Kwa siasa hizo ni kama kaamua kuwapa CCM mtaji wa wazi. Kama watu hawakuandamana na kaamua kujisalimisha basi kamaliza Spirit ya chama.
 

Mbowe kafanya mengi,. Ila kukaa madarakani zaidi ya miaka ishirini kunaleta shida.
 
Vio
Wakuu habari!

Mbowe kawatolea mapovu wenzie huko hata hawaelewi.

Nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Soma mwenyewe hapa 👇


Viongozi Wenzake wamekataa ujinga wake. Wameongelea issues za wananchi, yeye akadhani watamsifia mama Samia. Lissu ndio atasafisha adhari za hotuba ya Jana.
 
Hakuna anayetaka maridhiano ya kitapeli. Kiongozi anayeendekeza maridhiano ya kitapeli hatumuelewi. CCM hawana mabavu yoyote zaidi ya kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola. Kama Mbowe anataka maridhiano na ccm, afanye maridhiano hayo kimpango wake.
Hebu toa ushauri wewe unataka nini kifanyike?
 

Nani alikuwa na muda kuongelea upuuzi? CHADEMA hatuabudu Marehemu. Halafu mlisema CHADEMA haitafanya mkutano Mara watazomewa. Na huo ni mktano wa kwanza ngoja momentum ishike.
 
Mna bahati sana NINGEKUWA mimi mbowe ningewauza zamani sana, ukizingatia Mali alizopoteza kisa demokrasia ya hapa bongo ukichanganya na watu kutojielewa!!
Wanajifanya wanajua kumbe hawajui, majitu yanayojua kulalamika tu Tena kwa kujificha yasisikike yanayopenda kusemewa bila kujitetea, manafiki
Ndo maana kina lipumba walijilipa mapema kina DK slaa waliona mbali wakaamua kuishi kitanzania(kinafiki)
Kama kweli ni biashara hii siasA
Income 0 outcome 10000000000
Bora alambe asali
Basi tu kwakuwa kachagua kupigania watu wasiokielewa
 

Wewe wasema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…