Mbowe acha mzaha na Damu za watu

Dah umeeleweka mkuu, safi sana
 
Nelson Mandela huwezi kumfananisha na Mbowe.

Mbowe kuuza Chadema ni dakika sifuri. Ni dau lako tu.

Lowasa alimkatia Mbowe mlungula unajua kilichotokea.
 
Ule mchakato wa rufaa za wale wamama ulishasikilizwa???

Utaratibu uko wazi popote. Rufaa kuwa haijasikilizwa hakubatilishi hukumu iliyokwisha tolewa katika kipindi cha kusubiria rufaa.
 
Nelson Mandela huwezi kumfananisha na Mbowe.

Mbowe kuuza Chadema ni dakika sifuri. Ni dau lako tu.

Lowasa alimkatia Mbowe mlungula unajua kilichotokea.

Ma CCM yameshadadia uzi huu kujitibu misongo ya machungu ya awamu ya sita 😂😂😂😂😂.

Haya mbona yako wazi mno:

1. Covid 19 wamefukuzwa Chadema
2. Chadema haipokei ruzuku wala michango yao au chochote kutokana na ubunge wao batili.
3. Wakiomba msamaha kama mtu yeyote mwingine watasamehewa.
4. Msamaha hauna maana kuwa ili waendelee na ubunge au vyeo vyovyote walivyokuwa navyo.
5. Kusamehewa ina maana ya kufikiriwa na kuanza wanachama upya!

Sikilizeni na kufuatilia matamko rasmi ya chama kujua chama kinakwenda wapi.

Mbowe ni zaidi mno ya hoja nyepesi nyepesi kama zilizotolewa na mleta mada au hii michangiaji mi CCM ambayo kwa uzi huu imechagua kudemka kama vile eti nayo ni mi cdm.

Cdm mbona wanajulikana?
 
Unatwanga maji kwenye kinu
 
Unamkomoa nani?
 
Kuna mpuuzi mmoja anaitwa Mawia sijui.. sijamuona kuchangia kwenye huu uzi. Chama kina mwenyewe hiki
 
Kiukweli baadhi ya wanachama, wafuasi na mashabiki wa Chadema, vichwani ni watupu kabisa!. Wanadhani Majina ya kina Halima, yamepelekwa na CCM!. Laiti ungeujua ukweli, you will be surprised.



P
 
Kuna mpuuzi mmoja anaitwa Mawia sijui.. sijamuona kuchangia kwenye huu uzi. Chama kina mwenyewe hiki

Wewe ni wale wanaougulia maumivu kwenye awamu ya sita?

Unaonekana kudemka kweli kweli na huu uzi.

Kwani ulishahamia cdm?
 

Iko kwenye rekodi Chadema kuwataka msajili wa vyama vya siasa au tume ya uchaguzi watoe nani aliwapa majina ya wabunge wa viti maalumu achilia mbali kuwa mmoja aliyeko kule alikuwa Segerea.

Hayupo aliyethubutu kujibu hilo.

Tukuamini wewe uliyeonja JOTO ya jiwe ya wajumbe wa CCM kawe kuwa wewe kichwani una lolote?

Hiiiiii bagosha!
 
Kwa kukusaidia tuu, kama Chadema hawakupeleka majina, wangeisha ripoti polisi ni jinai ya forgery.
P
 
Kwa kukusaidia tuu, kama Chadema hawakupeleka majina, wangeisha ripoti polisi ni jinai ya forgery.
P

Kwa kukusaidia pia ewe Ilboru Alumni:

1. Forgery ni jinai. Polisi hawapaswi kusubiri ripoti. Wewe na mimi tumesikia kanusho la Chadema kutowasilisha majina hayo. Unadhani polisi hawajasikia hilo? Si kuwa polisi ni washirika kwenye jinai nyingi zihusuzo vyama ikiwamo hii?

2. Kwanini ni vigumu msajili au tume kutoa majibu ya maswali ya msingi sana haya ya Chadema wasiyotaka kuyajibu? Wewe kisheria hujui kuwa silence means affirmative? Kwanini msajili na tume ya uchaguzi wako kimya?

Ni mageni kuwa Polisi amekuwa mshirika mwaminifu kwenye jinai nyingi zikiwamo faulo za chaguzi mbalimbali na makorombwezo yake yote?

Kwani kweli wewe huyajui hayo?
 
Kwani Mandela ni kabila gn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…