The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Mkuu chadema inajulikana ina price tag juu yake. Hilo liko wazi.Ma CCM yameshadadia uzi huu kujitibu misongo ya machungu ya awamu ya sita ๐๐๐๐๐.
Haya mbona yako wazi mno:
1. Covid 19 wamefukuzwa Chadema
2. Chadema haipokei ruzuku wala michango yao au chochote kutokana na ubunge wao batili.
3. Wakiomba msamaha kama mtu yeyote mwingine watasamehewa.
4. Msamaha hauna maana kuwa ili waendelee na ubunge au vyeo vyovyote walivyokuwa navyo.
5. Kusamehewa ina maana ya kufikiriwa na kuanza wanachama upya!
Sikilizeni na kufuatilia matamko rasmi ya chama kujua chama kinakwenda wapi.
Mbowe ni zaidi mno ya hoja nyepesi nyepesi kama zilizotolewa na mleta mada au hii michangiaji mi CCM ambayo kwa uzi huu imechagua kudemka kama vile eti nayo ni mi cdm.
Cdm mbona wanajulikana?
Hayo mambo mengine ni kujifaragua tu ila ukweli uko wazi chadema ina bei yake.