Mbowe acha mzaha na Damu za watu

Mbowe acha mzaha na Damu za watu

Ma CCM yameshadadia uzi huu kujitibu misongo ya machungu ya awamu ya sita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Haya mbona yako wazi mno:

1. Covid 19 wamefukuzwa Chadema
2. Chadema haipokei ruzuku wala michango yao au chochote kutokana na ubunge wao batili.
3. Wakiomba msamaha kama mtu yeyote mwingine watasamehewa.
4. Msamaha hauna maana kuwa ili waendelee na ubunge au vyeo vyovyote walivyokuwa navyo.
5. Kusamehewa ina maana ya kufikiriwa na kuanza wanachama upya!

Sikilizeni na kufuatilia matamko rasmi ya chama kujua chama kinakwenda wapu.

Mbowe ni zaidi mno ya hoja nyepesi nyepesi kama zilizotolewa na mleta mada au hii michangiaji mi CCM ambayo kwa uzi huu imechagua kudemka kama vili ni eti ni mi cdm.

Cdm mbona wanajulikana?
Nimekupata mkuu,sawa Tumewasamehe ila hatuwataki kwenye Chama washenz sana hawa wanawake,acha wafie CCM nyambafu mbwa hawa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge.
Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa CHADEMA na wote waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Chama.
Yaani Halima Mdee na wenzake eti wasamehewe na wanarudi kwenye Chama kama zamani kwa lipi?
Yaani they're the best of all members around Tanzania?
Kwamba bila hao wasaliti CHADEMA haiwezi be kuwepo?
Aisee acha mzaha na Damu za watu Mbowe,hao ni nyoka tayari hawawezi tena kurudi kuwa Binadamu.
Mtu Kama Halima Mdee alikuwa na dhiki gani ya kununuliwa na CCM?
Miaka 10 ya Ubunge,mshahara zaidi ya mil 10 kwa mwezi na mafao yote hayo Bado hakuridhika akakimbilia CCM kisa kakosa Ubunge baada ya kuporwa,who the hell are they?
Waache wafie huko CCM, kila aliyeondoka wakati wa mapambano hatumtaki,umeshatuuliza siye wanachama kuwa Tupo tayari hao wasaliti warudi?
Tunakuheshimu sana tunaomba ujiheshimu na usichafue hali ya hewa.
Ukiwarudisha hao wasaliti,pia mrudishe Ben Saane,Mawazo,na pia mrudishie Tundu Lissu afya yake na Aquilina pia tutaomba umrudishe.
Mbowe nitakuchukia maisha yangu yote na usithubutu kabisa.
Wewe siyo Mungu wa kusamehe watu hovyo hovyo tu.
Na ukiwa mbishi be prepared to pay the price,na CHADEMA itafia huko.

Wewe ni nani kwenye Saccos ya Chadema? Wenye Saccos wakisema wewe ni kupiga makofi tu mkuu lasivyo wewe utaondoka na Saccos itaendelea. Na usirudie kumkanya Mwenyekiti wetu wa Maisha Faru John. Who are you by the way!!
 
Kiukweli baadhi ya wanachama, wafuasi na mashabiki wa Chadema, vichwani ni watupu kabisa!. Wanadhani Majina ya kina Halima, yamepelekwa na CCM!. Laiti ungeujua ukweli, you will be surprised.

P
Mkuu Pasco,Tunajua kila kitu we're not dulls, na wewe usijitoe ufahamu kwa sababu ya uoga,kwani hujui jitihada za Hayati Magufuli kuua upinzani kwa gharama yoyote?

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kwa kukusaidia tuu, kama Chadema hawakupeleka majina, wangeisha ripoti polisi ni jinai ya forgery.
P
Pasco ,Tunakuheshimu sana,hebu itendee haki hadhi yako, yaani unataka kujitoa ufahamu kwa lipi?
Eti wangeripoti Police, wewe ni intellectual umeamua kujifanya zuzu kwa lipi?
Unakera bwana

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge.
Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa CHADEMA na wote waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Chama.
Yaani Halima Mdee na wenzake eti wasamehewe na wanarudi kwenye Chama kama zamani kwa lipi?
Yaani they're the best of all members around Tanzania?
Kwamba bila hao wasaliti CHADEMA haiwezi be kuwepo?
Aisee acha mzaha na Damu za watu Mbowe,hao ni nyoka tayari hawawezi tena kurudi kuwa Binadamu.
Mtu Kama Halima Mdee alikuwa na dhiki gani ya kununuliwa na CCM?
Miaka 10 ya Ubunge,mshahara zaidi ya mil 10 kwa mwezi na mafao yote hayo Bado hakuridhika akakimbilia CCM kisa kakosa Ubunge baada ya kuporwa,who the hell are they?
Waache wafie huko CCM, kila aliyeondoka wakati wa mapambano hatumtaki,umeshatuuliza siye wanachama kuwa Tupo tayari hao wasaliti warudi?
Tunakuheshimu sana tunaomba ujiheshimu na usichafue hali ya hewa.
Ukiwarudisha hao wasaliti,pia mrudishe Ben Saane,Mawazo,na pia mrudishie Tundu Lissu afya yake na Aquilina pia tutaomba umrudishe.
Mbowe nitakuchukia maisha yangu yote na usithubutu kabisa.
Wewe siyo Mungu wa kusamehe watu hovyo hovyo tu.
Na ukiwa mbishi be prepared to pay the price,na CHADEMA itafia huko.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Acha uzuzu siasa kwenye siasa huwa hamna kama unavotaka wewe.
 
Kwa kukusaidia pia ewe Ilboru Alumni:

1. Forgery ni jinai. Polisi hawapaswi kusubiri ripoti. Wewe na mimi tumesikia kanusho la Chadema kutowasilisha majina hayo. Unadhani polisi hawajasikia hilo? Si kuwa polisi ni washirika kwenye jinai nyingi zihusuzo vyama ikiwamo hii?

2. Kwanini ni vigumu msajili au tume kutoa majibu ya maswali ya msingi sana haya ya Chadema wasiyotaka kuyajibu? Wewe kisheria hujui kuwa silence means affirmative? Kwanini msajili na tume ya uchaguzi wako kimya?

Ni mageni kuwa Polisi amekuwa mshirika mwaminifu kwenye jinai nyingi zikiwamo faulo za chaguzi mbalimbali na makorombwezo yake yote?

Kwani kweli wewe huyajui hayo?
Mkuu,Pasco asikusumbue ameamua kujitoa ufahamu kwa makusudi pengine ameahidiwa u DC.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge.
Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa CHADEMA na wote waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Chama.
Abataka akurudia makosa ya 2015 kuwakaribisha wale ma PM mapacha
 
Ma CCM yameshadadia uzi huu kujitibu misongo ya machungu ya awamu ya sita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Haya mbona yako wazi mno:

1. Covid 19 wamefukuzwa Chadema
2. Chadema haipokei ruzuku wala michango yao au chochote kutokana na ubunge wao batili.
3. Wakiomba msamaha kama mtu yeyote mwingine watasamehewa.
4. Msamaha hauna maana kuwa ili waendelee na ubunge au vyeo vyovyote walivyokuwa navyo.
5. Kusamehewa ina maana ya kufikiriwa na kuanza wanachama upya!

Sikilizeni na kufuatilia matamko rasmi ya chama kujua chama kinakwenda wapu.

Mbowe ni zaidi mno ya hoja nyepesi nyepesi kama zilizotolewa na mleta mada au hii michangiaji mi CCM ambayo kwa uzi huu imechagua kudemka kama vili ni eti ni mi cdm.

Cdm mbona wanajulikana?
Hata mie nimeshangaa ma CCM yamevamia huu uzi kupoza stress za kufiwa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nimekupata mkuu,sawa Tumewasamehe ila hatuwataki kwenye Chama washenz sana hawa wanawake,acha wafie CCM nyambafu mbwa hawa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app

Mkuu kumbuka #3, 4 na 5 ziko pamoja:

"3. Wakiomba msamaha kama mtu yeyote mwingine watasamehewa.
4. Msamaha hauna maana kuwa ili waendelee na ubunge au vyeo vyovyote walivyokuwa navyo.
5. Kusamehewa ina maana ya kufikiriwa na kuanza uanachama upya!"

Hadi sasa hawajaomba msamaha. Hata wakiomba #5 inahusika. Si lazima kusamehewa.

Ila tuanzie hapa. Hajasamehewa mtu hadi sasa.

Tusisahau kuwa mapambano ni strategy. Mandela alimvumilia hata Buthelezi, msaliti ambaye hata alisababisha vifo kwa washirika for the sake of unity and success.

Mbowe anaona mbali sana.
 
Kiukweli baadhi ya wanachama, wafuasi na mashabiki wa Chadema, vichwani ni watupu kabisa!. Wanadhani Majina ya kina Halima, yamepelekwa na CCM!. Laiti ungeujua ukweli, you will be surprised.

P
Wewe mnafiki wa CCM tu huaminiki tena, una maana Mbowe ndiye alienda kumtoa rumande yule dada wa Bavicha usiku? Hebu ilinde hiyo hadhi yako kiduchu iliyobakia hapa jukwaani.
 
Pamoja na kwamba Covid 19 walitekwa, wakawekwa under survellance , na kupewa maelekexo nini wafanye nini wasifanye na marehemu Hamnazo lakini hakuna haja yoyote ya kuwassmehe maana hawakutoa taarifa kwa uongozi wa chama
 
Mbowe ni msanii sana nilikuwaga lia lia sana wa chama cha chadema ila pale tu alipoahirisha maandamano nikamchukia jumla n a kadi nikachana .

Mbowe ndie alisababisha jiwe apate kiburi kuwa kumbe ana upinzan usio na meno na ukumbuke jiwe alikuwa mwoga sana yule dingi ni vile watu hawakujua tu ,kama ile siku maandamano yangetokea niamin magu angeongoza kwa upole sana ,sheria zote angefuata hata wabunge wa upinzan asingewakata kibabe ile 2020 ila mwaka 2015 alipogundua upinzan si lolote ndio hayo yaliotukuta kwa Zaid ya miaka mitano .

Mbowe sio wa kumwamini yule dingi hata ishu ya kina mdee ana mkono wake asilimia mia wajinga ndio hawaelew huu mchezo unavyocheza kibabe Zaid na kiutalaam
 
Back
Top Bottom