My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
- Thread starter
-
- #41
Magufuli alishindwa kumnunua Mbowe mpaka amekufa unadhani Mbowe ni simple ????Nelson Mandela huwezi kumfananisha na Mbowe.
Mbowe kuuza Chadema ni dakika sifuri. Ni dau lako tu.
Lowasa alimkatia Mbowe mlungula unajua kilichotokea.
Nimekupata mkuu,sawa Tumewasamehe ila hatuwataki kwenye Chama washenz sana hawa wanawake,acha wafie CCM nyambafu mbwa hawaMa CCM yameshadadia uzi huu kujitibu misongo ya machungu ya awamu ya sita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Haya mbona yako wazi mno:
1. Covid 19 wamefukuzwa Chadema
2. Chadema haipokei ruzuku wala michango yao au chochote kutokana na ubunge wao batili.
3. Wakiomba msamaha kama mtu yeyote mwingine watasamehewa.
4. Msamaha hauna maana kuwa ili waendelee na ubunge au vyeo vyovyote walivyokuwa navyo.
5. Kusamehewa ina maana ya kufikiriwa na kuanza wanachama upya!
Sikilizeni na kufuatilia matamko rasmi ya chama kujua chama kinakwenda wapu.
Mbowe ni zaidi mno ya hoja nyepesi nyepesi kama zilizotolewa na mleta mada au hii michangiaji mi CCM ambayo kwa uzi huu imechagua kudemka kama vili ni eti ni mi cdm.
Cdm mbona wanajulikana?
Wewe ni nani kwenye Saccos ya Chadema? Wenye Saccos wakisema wewe ni kupiga makofi tu mkuu lasivyo wewe utaondoka na Saccos itaendelea. Na usirudie kumkanya Mwenyekiti wetu wa Maisha Faru John. Who are you by the way!!Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge.
Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa CHADEMA na wote waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Chama.
Yaani Halima Mdee na wenzake eti wasamehewe na wanarudi kwenye Chama kama zamani kwa lipi?
Yaani they're the best of all members around Tanzania?
Kwamba bila hao wasaliti CHADEMA haiwezi be kuwepo?
Aisee acha mzaha na Damu za watu Mbowe,hao ni nyoka tayari hawawezi tena kurudi kuwa Binadamu.
Mtu Kama Halima Mdee alikuwa na dhiki gani ya kununuliwa na CCM?
Miaka 10 ya Ubunge,mshahara zaidi ya mil 10 kwa mwezi na mafao yote hayo Bado hakuridhika akakimbilia CCM kisa kakosa Ubunge baada ya kuporwa,who the hell are they?
Waache wafie huko CCM, kila aliyeondoka wakati wa mapambano hatumtaki,umeshatuuliza siye wanachama kuwa Tupo tayari hao wasaliti warudi?
Tunakuheshimu sana tunaomba ujiheshimu na usichafue hali ya hewa.
Ukiwarudisha hao wasaliti,pia mrudishe Ben Saane,Mawazo,na pia mrudishie Tundu Lissu afya yake na Aquilina pia tutaomba umrudishe.
Mbowe nitakuchukia maisha yangu yote na usithubutu kabisa.
Wewe siyo Mungu wa kusamehe watu hovyo hovyo tu.
Na ukiwa mbishi be prepared to pay the price,na CHADEMA itafia huko.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mkuu Pasco,Tunajua kila kitu we're not dulls, na wewe usijitoe ufahamu kwa sababu ya uoga,kwani hujui jitihada za Hayati Magufuli kuua upinzani kwa gharama yoyote?Kiukweli baadhi ya wanachama, wafuasi na mashabiki wa Chadema, vichwani ni watupu kabisa!. Wanadhani Majina ya kina Halima, yamepelekwa na CCM!. Laiti ungeujua ukweli, you will be surprised.
Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye karma, mtu unaadhibiwa au kuhukumiwa kwa mawazo, maneno na matendo yako, karma haina mswalie Mtume, wala...www.jamiiforums.com
CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...www.jamiiforums.com
P
Wakati ule aliteleza akiwa amelewa akatenguka ankle, jamaa akatupiga fix kuwa alishambuliwa na watu wasiojulikana 😅😅😂Mbowe huwa ana teleza sana kama binadamu
Pasco ,Tunakuheshimu sana,hebu itendee haki hadhi yako, yaani unataka kujitoa ufahamu kwa lipi?Kwa kukusaidia tuu, kama Chadema hawakupeleka majina, wangeisha ripoti polisi ni jinai ya forgery.
P
Acha uzuzu siasa kwenye siasa huwa hamna kama unavotaka wewe.Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge.
Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa CHADEMA na wote waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Chama.
Yaani Halima Mdee na wenzake eti wasamehewe na wanarudi kwenye Chama kama zamani kwa lipi?
Yaani they're the best of all members around Tanzania?
Kwamba bila hao wasaliti CHADEMA haiwezi be kuwepo?
Aisee acha mzaha na Damu za watu Mbowe,hao ni nyoka tayari hawawezi tena kurudi kuwa Binadamu.
Mtu Kama Halima Mdee alikuwa na dhiki gani ya kununuliwa na CCM?
Miaka 10 ya Ubunge,mshahara zaidi ya mil 10 kwa mwezi na mafao yote hayo Bado hakuridhika akakimbilia CCM kisa kakosa Ubunge baada ya kuporwa,who the hell are they?
Waache wafie huko CCM, kila aliyeondoka wakati wa mapambano hatumtaki,umeshatuuliza siye wanachama kuwa Tupo tayari hao wasaliti warudi?
Tunakuheshimu sana tunaomba ujiheshimu na usichafue hali ya hewa.
Ukiwarudisha hao wasaliti,pia mrudishe Ben Saane,Mawazo,na pia mrudishie Tundu Lissu afya yake na Aquilina pia tutaomba umrudishe.
Mbowe nitakuchukia maisha yangu yote na usithubutu kabisa.
Wewe siyo Mungu wa kusamehe watu hovyo hovyo tu.
Na ukiwa mbishi be prepared to pay the price,na CHADEMA itafia huko.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mkuu,Pasco asikusumbue ameamua kujitoa ufahamu kwa makusudi pengine ameahidiwa u DC.Kwa kukusaidia pia ewe Ilboru Alumni:
1. Forgery ni jinai. Polisi hawapaswi kusubiri ripoti. Wewe na mimi tumesikia kanusho la Chadema kutowasilisha majina hayo. Unadhani polisi hawajasikia hilo? Si kuwa polisi ni washirika kwenye jinai nyingi zihusuzo vyama ikiwamo hii?
2. Kwanini ni vigumu msajili au tume kutoa majibu ya maswali ya msingi sana haya ya Chadema wasiyotaka kuyajibu? Wewe kisheria hujui kuwa silence means affirmative? Kwanini msajili na tume ya uchaguzi wako kimya?
Ni mageni kuwa Polisi amekuwa mshirika mwaminifu kwenye jinai nyingi zikiwamo faulo za chaguzi mbalimbali na makorombwezo yake yote?
Kwani kweli wewe huyajui hayo?
Abataka akurudia makosa ya 2015 kuwakaribisha wale ma PM mapachaNimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge.
Unachotaka kufanya ni kutudharau sisi wanachama wote wa CHADEMA na wote waliomwaga Damu zao kwa ajili ya Chama.
Jenga hoja yenye mashiko, pengine huu uzi ni mzito na akili yako ni mlenda,Acha uzuzu siasa kwenye siasa huwa hamna kama unavotaka wewe.
Takataka ni CCM inayotumia Risasi kubakia madarakaniNjaa itamuua fisi makengeza, kile sio chama ni takataka
Magufuli alishindwa kumnunua Mbowe mpaka amekufa unadhani Mbowe ni simple ????
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mkuu Kama upo karibu na Mbowe mwambie hatutaki kusamehe kenge yoyote iliyokimbia Chama, CHADEMA imejengwa kwa jasho na Damu,hatutaki mzaha aisee....Nitachangia baadaye kidogo , nitakuja kufafanua
Hata mie nimeshangaa ma CCM yamevamia huu uzi kupoza stress za kufiwaMa CCM yameshadadia uzi huu kujitibu misongo ya machungu ya awamu ya sita [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Haya mbona yako wazi mno:
1. Covid 19 wamefukuzwa Chadema
2. Chadema haipokei ruzuku wala michango yao au chochote kutokana na ubunge wao batili.
3. Wakiomba msamaha kama mtu yeyote mwingine watasamehewa.
4. Msamaha hauna maana kuwa ili waendelee na ubunge au vyeo vyovyote walivyokuwa navyo.
5. Kusamehewa ina maana ya kufikiriwa na kuanza wanachama upya!
Sikilizeni na kufuatilia matamko rasmi ya chama kujua chama kinakwenda wapu.
Mbowe ni zaidi mno ya hoja nyepesi nyepesi kama zilizotolewa na mleta mada au hii michangiaji mi CCM ambayo kwa uzi huu imechagua kudemka kama vili ni eti ni mi cdm.
Cdm mbona wanajulikana?
Nimekupata mkuu,sawa Tumewasamehe ila hatuwataki kwenye Chama washenz sana hawa wanawake,acha wafie CCM nyambafu mbwa hawa
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Wewe mnafiki wa CCM tu huaminiki tena, una maana Mbowe ndiye alienda kumtoa rumande yule dada wa Bavicha usiku? Hebu ilinde hiyo hadhi yako kiduchu iliyobakia hapa jukwaani.Kiukweli baadhi ya wanachama, wafuasi na mashabiki wa Chadema, vichwani ni watupu kabisa!. Wanadhani Majina ya kina Halima, yamepelekwa na CCM!. Laiti ungeujua ukweli, you will be surprised.
Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
Wanabodi, Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa "Karma", na nimekuwa nikikihubiri mara nyingi tuu humu jukwaani kuwa karma ndio the power pekee ambayo hutoa hukumu ya haki hapa duniani, kwenye karma, mtu unaadhibiwa au kuhukumiwa kwa mawazo, maneno na matendo yako, karma haina mswalie Mtume, wala...www.jamiiforums.com
CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...www.jamiiforums.com
P
Wairipoti CCM kwa polisiccm? Masihara hayo.Kwa kukusaidia tuu, kama Chadema hawakupeleka majina, wangeisha ripoti polisi ni jinai ya forgery.
P