Mbowe acha mzaha na Damu za watu

Mkuu chadema inajulikana ina price tag juu yake. Hilo liko wazi.

Hayo mambo mengine ni kujifaragua tu ila ukweli uko wazi chadema ina bei yake.
 
Mkuu chadema inajulikana ina price tag juu yake. Hilo liko wazi.

Hayo mambo mengine ni kujifaragua tu ila ukweli uko wazi chadema ina bei yake.

Limeandikwa wapi hilo? Umeambiwa na nani? Unaweza kulitolea ushahidi usioacha shaka popote pale? Au ni kuota ota ndoto tu?

Ila watu kama nyie mnatugharimu sana kwenye hii nchi.

Bila watu kama nyie tungekuwa mbali sana na hata katiba tu isingekuwa hii inayopigiwa kelele kila siku na hata nyie mkiwamo ila bila kujua.
 
Mbowe nitakuchukia maisha yangu yote na usithubutu kabisa.
Kwan Mungu ni wa kabila lako
Ndio tatizo la kuvamia vyama kwa mihemko
Hujajiuliza kwa nini chadema wanapiga tu kelele hawaendi mahakamani?
Hujajiuliza kwa nini rufaa ya kina Mdee haijasikilizwa mpaka leo?
Hujaijuliza kwa nini chadema hawatambui matokeo yote ya uchaguzi lakini wamepeleka mbunge wao mmoja?
Ukishapata majibu utajichukia wewe kwa kupenda kampuni binafsi badala ya chama cha siasa
 

Halitakiwa tatizo la kuvamia hoja kwa mihemko hili?

1. Hujajiuliza kwanini suala hili la jinai polisi wako kimya.
2. Hujajiuliza kwanini kinyume cha utaratibu popote rufaa ambayo haijaamuliwa haibatilishi hukumu.
3. Hujajiuliza kwanini Chadema hawapokei ruzuku au michango ya mbunge yeyote.
4. Hujajiridhisha kama Chadema wanatambua uwepo wa mbunge wao yeyote bungeni.
5. Hujajiuliza kwanini msajili wa vyama au tume ya uchaguzi hawajibu majina ya wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA waliyapata wapi.

Ukiyaelewa hayo utajichukia mwenyewe kwa kudemkia ngoma wasiojulikana usiyoijua kama wewe si mmoja wao.

Hiiiiii bagosha!
 
Nimekusikia majuzi ukisema, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe kina Halima Mdee na wenzake waliokimbilia CCM kwa tamaa za pesa za ubunge...
Mbwembwe
Mbwembwezako tu,
Huwezi kumtisha master mbowe hata siku moja
 
Chadema haijawahi kuwa na mwanachama parachichi,wewe ni mataga tu
 
Mkuu chadema inajulikana ina price tag juu yake. Hilo liko wazi.

Hayo mambo mengine ni kujifaragua tu ila ukweli uko wazi chadema ina bei yake.
CHADEMA ni Chama imara kuliko hata CCM, Magufuli alijaribu zaidi ya mara kumi kumnunua Mbowe lakini hadi anakufa hakufanikiwa,hasira yake ikaishia kwenye kuharibu mali zake na kumfungulia kesi za kipumbavu.....vyama vyenye Price Tag ni TLP,NCCR,CUF na vinginevyo,kaa mbali na CHADEMA,na wala usijidanganye huo ni mziki mwingine.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mbowe hawezi kutelekeza kitega uchumi chake kinachompa billions. Ni sawa na na Mrema, Cheyo, Shibuda na wala hana sababu hiyo.

Mbowe hahitaji kuhama chama ili kupata maslahi yake.
Kwa sababu una mdomo unaoweza kuropoka lolote lakini ungekuwa na akili usingekuwa juha kichwani kiasi hicho, Kama unadhani ni rahisi hivyo na wewe anzisha Chama upige pesa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu una mdomo unaoweza kuropoka lolote lakini ungekuwa na akili usingekuwa juha kichwani kiasi hicho, Kama unadhani ni rahisi hivyo na wewe anzisha Chama upige pesa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Wewe takataka, kwahiyo kuwa msukule kwenye hicho kitega uchumi cha wachagga unaona ni big deal sana siyo.
 
Paka akishalala nje si paka tena, bali paka-pori (ni msemo tu wa baadhi ya makabila)
 

Kauli rasmi tokea kwa mh. Mwenyekiti ni hii:



Mwiba mchungu kwa wazandiki!
 
MBOWE ANAPENDA SANA HELA SASA WAKINA MDEE WAMESHAANZA KUMBANA AWARUDISHE CHAMANI HANA UJANJA ZAIDI YA KUSEMA ANAWASAMEHE
 
HAHAAAAA JAMANI MNAMJUWA MBOWE? AACHE ZAIDI YA BILIONI IMEKAA TU KWA MASLAHI YA NANI? KASHAZICHOTA ZAMAAAAANI NDIYO ANAZUNGUKA NAZO MIKOANI

Boya: hizi ID zenu za mwishoni mwa 2020 zinasemekana zilikuwa za KIMKAKATI zaidi chini ya wale mnaojulikana:



Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…