Uchaguzi 2020 Mbowe adhalilisha vyama vyote vya upinzani nchini, adai havistahili kupewa haki ya kunadi wagombea wao


Ahaa CCM na nyie siku hizi mnajihita Dunia...Mbowe kuwaambia wananchi ukweli limewakera sio eti .Tangu lini chama cha upinzani kikaunga mkono mgombea wa upinzani afungiwe bila kuhoji mapungufu yanayofanywa na chama tawala?
 
Hawezi kuvisema vibaya vyama vya upinzani wewe MATAGA. Mbona kavisifia nakasema wazi kuwa wanampango wa kushirikiana kwa kuachiana Majimbo ikiwezekana hata nafasi ya URAIS baina ya vyama vya upinzani MAKINI. Ni matumaini yangu utakuwa humaanishi vile vyama CCM B kua navyo ni upinzani kwani vile vinaleeweka kutokana na kazi maalum mliowaagiza wafanye wale mburulaz..ahaa kawashika pabaya..walipeni zile milioni moja moja kama kawaida yao wakatoe tamko tena.
 
Kwani uongo vyama mamluki hivyo hata Africa Kusini walipokuwa wanapigania ukombozi vyama mamluki vilikuwepo Chadema songa mbele
 
Member since sept 28, 2020 with all these foolish ideas?
 
Mbowe kasema ukweli mchungu, ukweli vyama vinavyoonekana ni vinne tu yaani, cuf, ccm. act, chadema.vingine ni vyama hewa.
Usimusemee bwana kasema ni Chadema tu hao cuf si act hawakutajwa zaidi ya ccm na cdm
 
 
Mimi nimemsikiliza. Uwezo wako wa kuelewa Ni mdogo sana

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Wewe umemsikiliza Mbowe au unabwabwaja ?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Na nimepata ukweli kwamba vyama vingi vya upinzani mamluki hivi kwa akili ya kawaida lissu nyota yake inang'aa badala kumuunga mkono wanamwekea pingamizi ila mwaka huu kura zangu zote nitapigia chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…