sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Ukitazama hii video utamuona Mbowe mmiliki wa CHADEMA akiendesha uchaguzi kwa style ambayo haijawai kutokea tangu uchaguzi wa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea urais CHADEMA mwaka 2015.
Huu ni muendelezo wa namna Mbowe anavyoendesha chama chake. Tukio ili limeshangaza maelfu ya watu walioona video hii duniani kote.
Hiki chama kimeishiwa maarifa ya uongozi. Wakati wa Dkt. Slaa huwezi ona haya mazingaombwe.