Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ndugu yangu, mie siasa za bongo nimeshazivulia kofia na blauzi sina hamuuuu. Wala siamini mambo yao ...hizi kelele za sisi mashabiki mara paaap kesho unaona picha ya pamoja ya mbowe, msigwa na sugu wanasmile hawana shida.hongera sana. Chadema is thre to syay! Undhani Msigwa angelishinda uenyekiti wa Nyasa (akamshida sugu) angelibwabaaja haya yote?
Msigwa amejidhalilisha mna. Wasipompa cheo sijui atatimkia wapi, maana anatafuta cheo
Sipo kabisa na siasa mie mtz huru