Pre GE2025 Mbowe aendesha uchaguzi wa Mwenyekiti Pangani bila kufuata taratibu za CHADEMA

Pre GE2025 Mbowe aendesha uchaguzi wa Mwenyekiti Pangani bila kufuata taratibu za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umefanya jambo la msingi. Huu utapeli wa mbowe watu wameuchoka
Mbowe mtu haswaaaa.
Mpaka unaona chadema kinafika kilipo ujue kavuja jasho la damu na maji haswa.

Siasa haitaki tamaa. Njaa au ukigeugeu.
Kunda changu nataka watu wajitolee tuteseke sote ili ikitokea kununuliwa tukikubal tunakubali wote au tunakataa wote.

Siasa ni ngumu sana mkuu.
Nccr
Tlp
Viko wapiiiiiiì
Unajua sababu???
 
Mwamba usipanic!! CHADEMA kama chama kikuu Cha Upinzani kinatakiwa kuwa mfano wa kuigwa. Kinatakiwa kiwe kisafi kuliko chama mnachotaka kiwapishe.

Una mahaba mazito na Mbowe, lakini tafadhali rejesha moyo wako nyuma Ili uitazame Demokrasia kati ubora unaohitajika.

Mbowe ni binadamu, na kama binadamu anakosea na hivyo wakati Fulani anastahili kusamehewa.

Lakini bahati mbaya sana Mbowe anakosea sana na makosa yake yanajirudia mno!! Kwanini asikubali kukosolewa na kushauriwa!?

Hakuna mashaka kwamba CHADEMA inapotomoka!! Kwani akikubali matakwa ya wenzake kwamba apumzike atapungukiwa nini!?

Au kaamua tu kwamba kama siyo yeye Mbowe basi ni heri chama kimfie!?

Mnafanya makosa Yale Yale ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kuziba masikio na kuwasikiliza wachache. Mbowe kama kiongozi wa Upinzani afanye kinyume chake hata kidogo tu!!

Mbowe tunampenda sana, lakini CHADEMA bila Mbowe itaemdelea tu. Na hili unataka kupinga?
Mbowe akistaafi Leo, CHADEMA nguvu itaongezeka. Ila akilazisha atasusiwa chama, halafu baadae aje kujutia kuwa alifanya makosa kutostaafu.
 
Wenye akili, nasema wenye akili, reasonable men, wanamuona Msigwa mavi. Kwanini hakuyasema right from the beginning?
Ok sawa Msigwa ni MAVI!! Je, hili linaondoa Ukweli kwamba Mbowe ame-over stay?
 
Mbowe mtu haswaaaa.
Mpaka unaona chadema kinafika kilipo ujue kavuja jasho la damu na maji haswa.

Siasa haitaki tamaa. Njaa au ukigeugeu.
Kunda changu nataka watu wajitolee tuteseke sote ili ikitokea kununuliwa tukikubal tunakubali wote au tunakataa wote.

Siasa ni ngumu sana mkuu.
Nccr
Tlp
Viko wapiiiiiiì
Unajua sababu???
Ni kweli ila astaafu na kuwapa wengine nafasi. Maana alipofika inabidi mwingine achukue nafasi.
 
Katika Jambo nalo Pinga ni Mbowe kutaka kugombea Tena uenyekiti. Italeta picha mbaya.
Bora useme wewe Kaka, miye naambiwa katiba inamruhusu sijui. Ameshakuwa Mwenyekiti miaka mingi, angewaachia wenye mawazo na fikra mpya, kuja kuongoza chama. Au anafikiria atakuja kupata Uraisi wa JMT?
 
Wanachadema kuhusu Mbowe ni zaidi ya ibada, yaani Mungu Mbowe ndiye anayeaminika na wanachama wote, hakuna mwanachama yeyote anayeaminika. Hapo Mbowe ni zaidi ya Mungu, maana hakuna mwanachama anaaminika kuchukua uenyekiti zaidi ya Mbowe, wengine wote wananunulika, yaani Lisu ananunulika, Lema ananunulika,yaani hakuna anayefaa zaidi ya Mungu Mbowe.
Acha kuropoka wewe chawa. Lissu ananulika na nani?. Angekuwa ananulika mngempiga risasi?. Punguza unafiki.
 
Wizi wa kura wa sisiemu vipi huuzungumzii?
20240701_192614.jpg
 
Kumbe msaliti kaondoka kwa sababu ya mbowe na sii kwa sababu ya chadema.
Kwa taarifa yako na inayotambuliwa duniani kiongozi maarufu wa upinzani tanzania ni mbowe, sii lisu wala huyo sjui msingwa
Kwani kuna chadema bila mbowe? Hiko chama ni mbowe anayetaka nafasi yake anaitwa msaliti pandikizi
 
..Ccm ndio waliosababisha yote unayolaumu.

..Kwa miaka 30+ Ccm wamegoma kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Jaji Nyalali ili Tanzania iwe na mfumo wa kweli wa vyama vingi.
20240701_192712.jpg


Na bado mkampa tuzo mwenyekiti wa CCM.
 
Evelyn salt "hata wewe"
Kwani ni uongo??? Weka siasa kando..... Anahubiri amani huku kaficha silaha, nini kujinasibu chama cha demokrasia ilhali hawaaiishi hiyo demokrasia??? Uenyekiti huo hauna muda???
 
Back
Top Bottom